Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Hahahahaha, mm natembea maeneo hayo , hasa usiku ,muda huu naenda mafele kinoMikocheni nakuja labda kumsalimia mzee nasepa π
Narudi kino
Yah kweli inawezekana labda ss wengine wazurulaji mapilika yanatupeleka huko
Ova
Dah umenikumbusha mbali hyo kinondoni Moscow kiongozNishatembea dar nzima kuna sehem inatwa kinondon moscow mtoto mdogo miaka 6 ana rista msela anavuta bangi kinondob shamba bang kama sigara watu wanapita mtaan huku wanavuta dar yote nimeimaliza
Nakuunga mkono, pamoja na KigamboniViunga gani vya jiji letu la Dar es Salaam unavisikia tu ila haujawahi kufika?
Naanza: nimeishi Dar sijawahi kufika ila nimeshapasikia:
.
- Chanika
- Chamazi
- Makongo juu
- Kivule
- Kiwalani
- Yombo vituka
- Mabwepande
- Mburahati
View attachment 3400445
View attachment 3400458
View attachment 3400447
View attachment 3400478
View attachment 3400449
Mbweni wanataka SIFAMbweni kiboko ππ kule
Sure kuna kinyerenzi park pale actually ni pazuri now ila kukaa kule hapana nikihama hapa ni bahari beachKinyerezi kitambo kwa mashuwa waliwahi wasi wangu mabar naona yanasogea
Ova
Mbweni kweli watu waliwahi San sana vigogo serikalini na watu wa mfumo ni kama walitengewa eneo hukoMkuu Mimi kwa Dar hii na maeneo yote niliyotembelea so far, bado sijaona sehemu watu waliyofanya kufuru ya mijengo kiujumla kama Mbweni, yani sasa hivi sijui hata ni maeneo gani tena Dar yanatanishitua
Huwa nasikia kuna sehemu inaitwa Kariakoo. Hivi Ukiwa Mapinga hapa Bagamoyo, Kariakoo huwa ni wapiViunga gani vya jiji letu la Dar es Salaam unavisikia tu ila haujawahi kufika?
Naanza: nimeishi Dar sijawahi kufika ila nimeshapasikia:
.
- Chanika
- Chamazi
- Makongo juu
- Kivule
- Kiwalani
- Yombo vituka
- Mabwepande
- Mburahati
View attachment 3400445
View attachment 3400458
View attachment 3400447
View attachment 3400478
View attachment 3400449
Temeke ndani ndani huko, kuna tope usiombe.Papo karibu na wapi, mbona sipajui π€£π€£π€£
Af naona wana zidisha sasa πππ kuna kipindi niliambiwa kule nyumba nyingi watu hawakai ila mwenye nyumba anaweza kukuambia uwe una walipa wafanya kazi mshahara nikauliza huyo mfanyakazi una mpa bei gani mlinzi 450k mtu wa bustani 350k kila mwezi nikasema we sijafika utajiri uhooMbweni wanataka SIFA
Sasa huko nyumbaniHahahahaha, mm natembea maeneo hayo , hasa usiku ,muda huu naenda mafele kino
Dah now kule huwezi pata kiwanja bei ipo juuuMbweni kweli watu waliwahi San sana vigogo serikalini na watu wa mfumo ni kama walitengewa eneo huko
Mbweni nliendaga zamani mimi nikiwa na mzee wangu na mzee lumbanga alikuwa na maeneo huko,walishapewaga na serikali
Ova
Mbweni ni mbadala wa Masaki na Oysterbay , ukimix unapata MbweniMbweni kweli watu waliwahi San sana vigogo serikalini na watu wa mfumo ni kama walitengewa eneo huko
Mbweni nliendaga zamani mimi nikiwa na mzee wangu na mzee lumbanga alikuwa na maeneo huko,walishapewaga na serikali
Ova
Hata kunduchi nyumba zipo wenyewe hawakai,ununio napoAf naona wana zidisha sasa πππ kuna kipindi niliambiwa kule nyumba nyingi watu hawakai ila mwenye nyumba anaweza kukuambia uwe una walipa wafanya kazi mshahara nikauliza huyo mfanyakazi una mpa bei gani mlinzi 450k mtu wa bustani 350k kila mwezi nikasema we sijafika utajiri uhoo
Hahaha yaani tuseme Mbweni ni kama kifupi cha MbwembweMbweni wanataka SIFA
ππ½ kino,mwananyamala full mkekaSasa huko nyumbani
Si umeona tuna mkeka
Ova
Swadakta kabisaHahaha yaani tuseme Mbweni ni kama kifupi cha Mbwembwe
Dar sio Ndogo km unavyoonyeshwa kwenye ramaniHakuna sehemu sijafika Dar, ilivyo ndogo hivi unakosaje kuitembea
Jau nyumba unaingia ina swimng ukajagi tope kabisa af taa kila kona yaan ata nyoka akipita una muonaHahaha yaani tuseme Mbweni ni kama kifupi cha Mbwembwe
Na wachina wanavyoitaka mikocheniMbweni ni mbadala wa Masaki na Oysterbay , ukimix unapata Mbweni
Ngoja mchina asaini JV, nihamie huko