Mnaoishi Dar, eneo gani unalisikia ila hujawahi kufika?

Nakaa eneo ambalo
Mita 700 ,Hospital ya kairuki
Mita 850 ,Hospital ya TMJ
Km 2.5 ,Hospital ya Mwananyamala
Mita kadhaa ,Us Embassy
Mita kadhaa ,Shopperz plaza

Barabara zote za rami
 
Yule jamaa wa ifakara health istitute kachangisha watu hela
Kaleta grader tu hamna lolote
Ona alichofanya
Mm nlimwambia mzee asitoe helaa wahuni wale
Wamechonga ona mashimo yamerudi watu wanataka kitu cha kudumu

Ova
Dmp zinapita kote kule inatokea mabwawani,inaenda kuunga RG kule
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…