Mwisho utakuja kuuliza watu waliwapendea nini wake zao wakati hawana lolote, na ilikuwaje walimruka mke wako na kwenda kuoa hao wengine.Salam.
Unajenga nyumba ya ghorofa ili iweje
Kwnza uoni ni usumbifu unadhani ukizeeka utaweza kupanda ngazi.
Pia ni risk unakuta mtu mlevi nae anaishi kwenye ghorofa ukianguka kwenye ngazi je?
Nyumba za ghorofa zinachangamoto nyingi
Ghorofa zibaki kwa vitega uchumi na maofisi tu lakini kwa ajili ya kuishi Jenga nyumba ya kawaida..
Siku hizi unajua watu wanaweka lift hadi majumbani?? Suala la kutojenga ghorofa kisa kupanda ngazi uzeeni sio sababu tena, lift zipo Kariakoo tu hapo vifaa vyake vinauzwa na mafundi wa kukuwekea wapoSalam.
Unajenga nyumba ya ghorofa ili iweje
Kwnza uoni ni usumbifu unadhani ukizeeka utaweza kupanda ngazi.
Pia ni risk unakuta mtu mlevi nae anaishi kwenye ghorofa ukianguka kwenye ngazi je?
Nyumba za ghorofa zinachangamoto nyingi
Ghorofa zibaki kwa vitega uchumi na maofisi tu lakini kwa ajili ya kuishi Jenga nyumba ya kawaida..
Pia wanajenga ghorofa kwasababu wanataka ile view ya kutazama mtaa ama mji kutokea kwa juu. Siku hizi kuna nyumba zina sebule mbili moja ya chini nyengine ya juu yenye baraza ili wakazi wa nyumba wavinjari wakipunga upepo huku wanatazama mji tokea baraza yao ya juu ya ghorofaniSalam.
Unajenga nyumba ya ghorofa ili iweje
Kwnza uoni ni usumbifu unadhani ukizeeka utaweza kupanda ngazi.
Pia ni risk unakuta mtu mlevi nae anaishi kwenye ghorofa ukianguka kwenye ngazi je?
Nyumba za ghorofa zinachangamoto nyingi
Ghorofa zibaki kwa vitega uchumi na maofisi tu lakini kwa ajili ya kuishi Jenga nyumba ya kawaida..
Ni hobbie tu ya mtu kujenga kighorofa, hata mimi nikiokota hela lazima nijenge kighorofa uchwara.Salam.
Unajenga nyumba ya ghorofa ili iweje
Kwnza uoni ni usumbifu unadhani ukizeeka utaweza kupanda ngazi.
Pia ni risk unakuta mtu mlevi nae anaishi kwenye ghorofa ukianguka kwenye ngazi je?
Nyumba za ghorofa zinachangamoto nyingi
Ghorofa zibaki kwa vitega uchumi na maofisi tu lakini kwa ajili ya kuishi Jenga nyumba ya kawaida..
Halina uajabu wowote narudia tena naona hapa hao wabongo washamba wa ghorofa na wewe ni mmoja waoKujenga ghorofa ni kawaida? Hapo kuna mawili, kwanza labda utakua na pesa sana
Au pili hujawahi kujenga hata banda la kuku kwahiyo hujui hata msumari unauzwaje
We endelea kukaa hapo kwa shemeji yako huku unakariri vipindi vya wasafi tvHalina uajabu wowote narudia tena naona hapa hao wabongo washamba wa ghorofa na wewe ni mmoja wao
Bei ya msumari ndio kitu gani?wabongo kwa kupenda kutishana wakati hakuna lisilowezekana chini ya jua.
Wenye ghorofa wengi ni 2-3 childrenTunajenga ghorofa kwa sababu eneo ni dogo na familia ni kubwa inabidi nyumba ibebe nyumba mwenzake ili tuenee.
Pole yako na ushamba wakoWe endelea kukaa hapo kwa shemeji yako huku unakariri vipindi vya wasafi tv
Kama ndege anajenga kwanini we umeshindwa kujenga bado unaishi kwa shemeji?Pole yako na ushamba wako
Endelea kutisha watu umenunua misumari bati na tofali ushuzi mtupu wakati hata ndege anajenga kiota
Njoo nikupe ghorofa moja la bure ukae na mkeoKama ndege anajenga kwanini we umeshindwa kujenga bado unaishi kwa shemeji?
We nenda ukabet hukoNjoo nikupe ghorofa moja la bure ukae na mkeo
wacheni uvivu panda shuka ndiyo zoezi lenyeweNi kweli asee Ile panda shuka inachosha