PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Mwisho utakuja kuuliza watu waliwapendea nini wake zao wakati hawana lolote, na ilikuwaje walimruka mke wako na kwenda kuoa hao wengine.Salam.
Unajenga nyumba ya ghorofa ili iweje
Kwnza uoni ni usumbifu unadhani ukizeeka utaweza kupanda ngazi.
Pia ni risk unakuta mtu mlevi nae anaishi kwenye ghorofa ukianguka kwenye ngazi je?
Nyumba za ghorofa zinachangamoto nyingi
Ghorofa zibaki kwa vitega uchumi na maofisi tu lakini kwa ajili ya kuishi Jenga nyumba ya kawaida..