Mnaojiweza au mliowahi kujiweza kiuchumi mkiwa chini ya miaka 30, nje ya ajira, utajiri wa familia, n.k mliwezaje?

Mnaojiweza au mliowahi kujiweza kiuchumi mkiwa chini ya miaka 30, nje ya ajira, utajiri wa familia, n.k mliwezaje?

Kuzungudmza na kutafuta watu na taarifa sahihi, ndio mtaji wangu wa kwanza.

sija jua mafanikio ume yaweka kwenye vitu au nini?, ila I had my first house before I was 21.
You should be ashamed of yourself for this kind of comment, Dude. The guy has seriously asked a question which need an answer or perhaps some advice but you've decided to write nonsense in your second paragraph or if I may ask, How did you manage to build your first house before before you were 21?.
 
Huyo anachangamsha kijiwe, kwenye safari za mamba kenge hawakosi..!! 😹

Miaka 21 nyumba aitoe wapi labda ya urithi..!
 
Kuzungukwa na kutafuta watu na taarifa sahihi, ndio mtaji wangu wa kwanza.

sija jua mafanikio ume yaweka kwenye vitu au nini?, ila I had my first house before I was 21.
Hingera sana ndugu yangu
Sisi wengine tunautafuta mwaka wa 40 wa kuzaliwa lakini mpka leo tarehe 3 sijalipa kodi ya chumba na sebule!

Sio kwamba sifanyi kazi nafanya lakini nadhani pamoja na mambo mengine maisha yanabebwa na bahati,kama hauna bahati hata upambane kiasi gani!
 
Imauma sana kama ukiwa mlokole yaani pombe hunywi, sigara wala bangi huvuti, mbususu unapata kwa mpangilio maalum (kifo cha mende kwenye ndoa) na kila jumamosi upo kanisani ila inafika 30 maisha Yako hayana tofauti na dereva wa bajaji hapo mtaani
Bora hata huyo dereva wa badaji huwenda halali njaa, sisi wengine tulisali sana, yaani ile kila asubuhi hukosi ibada,jioni kwenye fellowship hukosi mifungo na semina tumeshiriki lakini mara kadhaa tumelaza watoto njaa!
 
Hingera sana ndugu yangu
Sisi wengine tunautafuta mwaka wa 40 wa kuzaliwa lakini mpka leo tarehe 3 sijalipa kodi ya chumba na sebule!

Sio kwamba sifanyi kazi nafanya lakini nadhani pamoja na mambo mengine maisha yanabebwa na bahati,kama hauna bahati hata upambane kiasi gani!
Bado mda upo brother, Kikubwa una anza mdogo mdogo kukusanya vitu vya ujenzi.

una vilipia Kisha una viacha kwa muuzaji, wewe tunza risiti na kuwe na mashahidi.

sito danganya Kuna mda najipa presha ya vitu kadhaa, halafu vijana wa umri wako hawana hata presha wako bize na starehe.
 
Back
Top Bottom