Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 3,711
- 6,762
wewe ni ngumu kukuamini mzee......Kaka sina kazi au mke, itoshe kusema mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro max
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe ni ngumu kukuamini mzee......Kaka sina kazi au mke, itoshe kusema mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro max
Acha nikae kimyawewe ni ngumu kukuamini mzee......
Makamu mbona ume anza u snitch, au una kitamani cheo changu Cha uraisi wa ma jobless pro max?Acha nikae kimya
Mkuu au mpaka niweke Picha nikiwa nabeba zege?, mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro max.wewe ni ngumu kukuamini mzee......
Oya mwanangu bizz weka pichaaa 😅😅😅Chai 😹
Labda nyumba ya matope 🤣
Nipo hapa naanda uduvi wa kutembeza kawe keshoMakamu mbona ume anza u snitch, au una kitamani cheo changu Cha uraisi wa ma jobless pro max?
wewe ni ngumu kukuamini mzee......
Nayo ni kazi, kikubwa ithamini maana ndio chanzo Cha mapato.Nipo hapa naanda uduvi wa kutembeza kawe kesho
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Chai......mkuu,nyumba za familia/urithi unasema ni zako
Ety Hana kazi humu umuamni mtu utakufa njaa 😂😂Kwani semaji wa job less pro max anasemaje kuhusu hii issue 😅😊
Only answer for threadIn 20z lazima uchague kimoja shule kweli kweli au biashara kweli kweli na upate taarifa sahihi na uzungukwe na watu sahihi maana unakuwa na backup za kutosha kutoka kwa watu na pia unakuwa huogopi kurisk
You should be ashamed of yourself for this kind of comment, Dude. The guy has seriously asked a question which need an answer or perhaps some advice but you've decided to write nonsense in your second paragraph or if I may ask, How did you manage to build your first house before before you were 21?.Kuzungudmza na kutafuta watu na taarifa sahihi, ndio mtaji wangu wa kwanza.
sija jua mafanikio ume yaweka kwenye vitu au nini?, ila I had my first house before I was 21.
Namjua huyo anachangamsha kijiwe, nyumba mchezo 😹😹Oya mwanangu bizz weka pichaaa 😅😅😅
We si juzi tu hapa ulikuwa unaomba afu tatu uungwe bando na wifi 😹Nayo ni nyumba pia, infact nime ona watu pia Wana ishi na familia zao so sioni tatizo.
ila nyumba nayo ni big deal?
Huyo anachangamsha kijiwe, kwenye safari za mamba kenge hawakosi..!! 😹You should be ashamed of yourself for this kind of comment, Dude. The guy has seriously asked a question which need an answer or perhaps some advice but you've decided to write nonsense in your second paragraph or if I may ask, How did you manage to build your first house before before you were 21?.
Hingera sana ndugu yanguKuzungukwa na kutafuta watu na taarifa sahihi, ndio mtaji wangu wa kwanza.
sija jua mafanikio ume yaweka kwenye vitu au nini?, ila I had my first house before I was 21.
Bora hata huyo dereva wa badaji huwenda halali njaa, sisi wengine tulisali sana, yaani ile kila asubuhi hukosi ibada,jioni kwenye fellowship hukosi mifungo na semina tumeshiriki lakini mara kadhaa tumelaza watoto njaa!Imauma sana kama ukiwa mlokole yaani pombe hunywi, sigara wala bangi huvuti, mbususu unapata kwa mpangilio maalum (kifo cha mende kwenye ndoa) na kila jumamosi upo kanisani ila inafika 30 maisha Yako hayana tofauti na dereva wa bajaji hapo mtaani
Bado mda upo brother, Kikubwa una anza mdogo mdogo kukusanya vitu vya ujenzi.Hingera sana ndugu yangu
Sisi wengine tunautafuta mwaka wa 40 wa kuzaliwa lakini mpka leo tarehe 3 sijalipa kodi ya chumba na sebule!
Sio kwamba sifanyi kazi nafanya lakini nadhani pamoja na mambo mengine maisha yanabebwa na bahati,kama hauna bahati hata upambane kiasi gani!
Wenzetu mliwezaje wezaje, wengine tumejipata kwenye 30 na kitu, hali za huko nyuma zilikuwa mbaya sana