Shikamooni wote.
Jamani uswahilini mbona kuna mambo ya ajabu hivi?!!
Jana nilikua kwa Muha wangu na mojawapo ya vitu nilifanya pale kwake ni kufua wakati yeye yuko kazini.
Kwa vile nyumba ina watu wengi nilipoanika pichu zangu na boxer za Muha wangu nilizifunika kwa kanga mana kwangu ni aibu nguo za ndani kuanikwa hadharani.
Muha wangu aliporudi mchana for lunch wakati tuko chumbani kwetu ghafla kupitia dirishani namuona mke wa mpangaji mwenzie akianika nguo ambazo sikuona amefua saa ngapi.
Hilo halikua tatizo bali tatizo ni pale alipoanika nguo nyingine zote sehemu nyingine ila akaja sehemu ya kamba inayopita karibu na dirishani kwetu huku akiona kabisa kuwa Muha wangu anaona kisha akaanika michupi yake pale.Kwa jinsi alivyo na mitako mikubwa ile michupi ilikua mikubwa kiasi kwamba mimi nikivalishwa inakua kama nimevaa dera.
Kilichonichefua ni jinsi Muha alivyochukua zaidi ya dk 3 kukodolea macho ile michupi mikubwa kama mashati ya Lemutuz ☹️(RIP).
Huyu Muha nae kuna saa simuelewi😭.
Anywayz..
Hivi majirani zangu wa uswazi,hii ni bahati mbaya au wanataka kunipora Muha wangu?
Ila atatakaje kunipora Muha wangu wakati ana mumewe?
Nilidhani vyoo vya uswazi ndo kero kubwa ila hii yakuzibiana dirisha kwa michupi ni changamoto.
Sina imani kabisa na yule dada.Niko zangu kwa gate kali electrical fence jaccuzin with a glass of shampaigne ila lile li dada la uswazi linanikosesha raha.
cocastic ulisema life la uswazi unaliwezea hebu nipe miongozo.Hii ina maana gani☹️😭