- Thread starter
- #41
Tunafunga soonSi mfunge ndoa .mnadate miaka minne sasa kwa sababu gani?
Tunafunga soonSi mfunge ndoa .mnadate miaka minne sasa kwa sababu gani?
Bila picha ya hiyo chupi huu Uzi ni ubatili kama ubatili mwingine, au nasema uongo ndugu zangu?ile michupi ilikua mikubwa kiasi kwamba mimi nikivalishwa inakua kama nimevaa dera.
Staki kuwaza sana ntakufa na presha bure😭Usije unajiliza humu JF.wewe si uliona alivyokuwa anauangalia mchupi wa dada bonge kwa uchu na huba?
Lilivyo likubwa sasaBila picha ya hiyo chupi huu Uzi ni ubatili kama ubatili mwingine, au nasema uongo ndugu zangu?
Maendeleo hayana chama
HakuoiTunafunga soon
Jiheshimu we mpareMuha kaoa debe tupu tena kubwa jinga
Mmmhh MBONA umenijibu kitoto SAna. Anyway SIJAJUA UMRI WAKO ILA hicho ulicho andika nmegundua mambo makuu matatu takwambia MOJA lenye vipengela a, b na c. A- MSHAMBA WA mapenzi, B- tegemezi(goal keeper), C- umekaa kizamani(hujui KUSOMA nyakati.kipi ufanye kipi USIFANYE na kwa wakati GANI KUSOMA hatari kabla haija leta maafa HAPO pote ni zero unaitaji kupikwa.Hata kama ila kwa Muha labda niharibu mwenyewe coz nishatolewa mahari.Mama yake anahimiza tufanye fasta tuoane.Hati yake ya nyumba kanipa nimshikie.
Huyo dada bonge ana mumewe
,sanasana atagongwa apate hela ya vikoba then ataambiwa mimi nikiwepo asilete mazoea.
Na nikijua ataachwa mazima sbb mimi ndo ninayependwa😃
Who carez😃,Hakuoi
Muha anaoa muha mwezie
Mmmhh MBONA umenijibu kitoto SAna. Anyway SIJAJUA UMRI WAKO ILA hicho ulicho andika nmegundua mambo makuu matatu takwambia MOJA lenye vipengela a, b na c. A- MSHAMBA WA mapenzi, B- tegemezi(goal keeper), C- umekaa kizamani(hujui KUSOMA nyakati.kipi ufanye kipi USIFANYE na kwa wakati GANI KUSOMA hatari kabla haija leta maafa HAPO pote ni zero unaitaji kupikwa.
Bro alex on the beat.
Nisamehe bure bro Alex, nahisi lile tukio limeathiri uwezo wangu wa kufikiriMmmhh MBONA umenijibu kitoto SAna. Anyway SIJAJUA UMRI WAKO ILA hicho ulicho andika nmegundua mambo makuu matatu takwambia MOJA lenye vipengela a, b na c. A- MSHAMBA WA mapenzi, B- tegemezi(goal keeper), C- umekaa kizamani(hujui KUSOMA nyakati.kipi ufanye kipi USIFANYE na kwa wakati GANI KUSOMA hatari kabla haija leta maafa HAPO pote ni zero unaitaji kupikwa.
Bro alex on the beat.
😭😭Acha muha ajilie vyake Mai maisha yenyew mafupi
Haya madada ya uswazi ya phd za kujitongozesha😭😭😭😭😭Na wanaume walivyo na tamaa za ajabu usikute muha naye kashaanza kummezea mate huyo jirani
Muha nae leo kaopoa 😀😀Shikamooni wote.
Jamani uswahilini mbona kuna mambo ya ajabu hivi?!!
Jana nilikua kwa Muha wangu na mojawapo ya vitu nilifanya pale kwake ni kufua wakati yeye yuko kazini.
Kwa vile nyumba ina watu wengi nilipoanika pichu zangu na boxer za Muha wangu nilizifunika kwa kanga mana kwangu ni aibu nguo za ndani kuanikwa hadharani.
Muha wangu aliporudi mchana for lunch wakati tuko chumbani kwetu ghafla kupitia dirishani namuona mke wa mpangaji mwenzie akianika nguo ambazo sikuona amefua saa ngapi.
Hilo halikua tatizo bali tatizo ni pale alipoanika nguo nyingine zote sehemu nyingine ila akaja sehemu ya kamba inayopita karibu na dirishani kwetu huku akiona kabisa kuwa Muha wangu anaona kisha akaanika michupi yake pale.Kwa jinsi alivyo na mitako mikubwa ile michupi ilikua mikubwa kiasi kwamba mimi nikivalishwa inakua kama nimevaa dera.
Kilichonichefua ni jinsi Muha alivyochukua zaidi ya dk 3 kukodolea macho ile michupi mikubwa kama mashati ya Lemutuz ☹️(RIP).
Huyu Muha nae kuna saa simuelewi😭.
Anywayz..
Hivi majirani zangu wa uswazi,hii ni bahati mbaya au wanataka kunipora Muha wangu?
Ila atatakaje kunipora Muha wangu wakati ana mumewe?
Nilidhani vyoo vya uswazi ndo kero kubwa ila hii yakuzibiana dirisha kwa michupi ni changamoto.
Sina imani kabisa na yule dada.Niko zangu kwa gate kali electrical fence jaccuzin with a glass of shampaigne ila lile li dada la uswazi linanikosesha raha.
cocastic ulisema life la uswazi unaliwezea hebu nipe miongozo.Hii ina maana gani☹️😭
Basi hapa zitapokezana ids hadi nikome 😃Ila bichwa komwe una hekaheka 😏
USIJALI kua NAE makini HIYO ni vita tayari. SIO KWAMBA anamtaka mumeo no.anataka muachane SINA HAKIKA ILA ni maelezo Yako. USIJALI kabla ya YOTE kama unatunywesha chai hua sijaribiwi be care. Kama ni kweli nakupa mambo matano Leo tutaanza na MOJA lenye vipengele I. Ii .iii .i-usimnununie relax mchekee tabasamu MSALIMIE popote ILA usijipendekeze. ii- usikubali hata kwa rungu aingie ndani kwa JAMAA akija kwako muwahi NJE FANYA CHOCHOTE asiingie ndani kwa JAMAA uwepo usiwepo SIJUI utatumia mbinu gani. iii- sali sana HAO SI wazuri KITU kidogo ANAWEZA KUKUpa ulemavu WA kudumu(kukuroga) au kukuchizisha au kukuondoa kabisa itategemeana kama utakuza bifu. rejea NAMBA MOJA ya kirumi kujikinga. Ukiona mnakatazwa kuishi uswahilini SI KWAMBA SI tuna PESA APANA huko Kuna mambo ya kijinga SANA heri uumie Kodi ILA uishi pazuri kwa usalama WAKO WA kiroho.Nisamehe bure bro Alex, nahisi lile tukio limeathiri uwezo wangu wa kufikiri