kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
Usiwe na wasi wasi lakini shemeji anakupenda hawezi kufanya mbele yakoHaya madada ya uswazi ya phd za kujitongozesha😭😭😭😭😭
Usiwe na wasi wasi lakini shemeji anakupenda hawezi kufanya mbele yakoHaya madada ya uswazi ya phd za kujitongozesha😭😭😭😭😭
Hata mie nimechafukwa😄😄😄Kilichonichefua ni jinsi Muha alivyochukua zaidi ya dk 3 kukodolea macho ile michupi mikubwa kama mashati ya Lemutuz ☹️(RIP).
Huyu Muha nae kuna saa simuelewi😭.
🤣🤣🤣🤣🤣
Kamuopoa nani mkuu?Muha nae leo kaopoa 😀😀
Muha nae leo kaopoa 😀😀
🙏🙏🙏USIJALI kua NAE makini HIYO ni vita tayari. SIO KWAMBA anamtaka mumeo no.anataka muachane SINA HAKIKA ILA ni maelezo Yako. USIJALI kabla ya YOTE kama unatunywesha chai hua sijaribiwi be care. Kama ni kweli nakupa mambo matano Leo tutaanza na MOJA lenye vipengele I. Ii .iii .i-usimnununie relax mchekee tabasamu MSALIMIE popote ILA usijipendekeze. ii- usikubali hata kwa rungu aingie ndani kwa JAMAA akija kwako muwahi NJE FANYA CHOCHOTE asiingie ndani kwa JAMAA uwepo usiwepo SIJUI utatumia mbinu gani. iii- sali sana HAO SI wazuri KITU kidogo ANAWEZA KUKUpa ulemavu WA kudumu(kukuroga) au kukuchizisha au kukuondoa kabisa itategemeana kama utakuza bifu. rejea NAMBA MOJA ya kirumi kujikinga. Ukiona mnakatazwa kuishi uswahilini SI KWAMBA SI tuna PESA APANA huko Kuna mambo ya kijinga SANA heri uumie Kodi ILA uishi pazuri kwa usalama WAKO WA kiroho.
Bro alex on da beats
☹️☹️☹️☹️☹️☹️☹️Kilichonichefua ni jinsi Muha alivyochukua zaidi ya dk 3 kukodolea macho ile michupi mikubwa kama mashati ya Lemutuz ☹️(RIP).
Huyu Muha nae kuna saa simuelewi😭.
🤣🤣🤣🤣🤣
Hata akifanya mbele yangu atajijua na mabalaa yakeUsiwe na wasi wasi lakini shemeji anakupenda hawezi kufanya mbele yako
Can you imagine☹️Hata mie nimechafukwa😄😄😄
Ikitoka Id hii inafuatia ipi laboby?Bro huu muandiko naujua
🙏🙏🙏
Asante kwa muongozo bro Alex.
Nitazingati
Hapana sio kweli. Kama alitaka kuhama kwa ajili yako. Basi ni muda muafaka kuhama. Kuna code nyingine nikufungulie nifuateNikuambie Tu
Muha??
Mtaachana Tu mchana kweupe
Tafuta mpenzi .huna chako hapo
Lucas MwashambwaIkitoka Id hii inafuatia ipi laboby?