- Thread starter
- #21
HapanaKumbe huwaga una I'd nyingi kidogo
HapanaKumbe huwaga una I'd nyingi kidogo
🙏🙏Hapana ila nishaelewa
My nighaBombOclaaT!! en ah p***y
I gues ni hapo ulipo na hii simu umeiba ya doktaUnapafahamu milembe!
My nigha
Si mfunge ndoa .mnadate miaka minne sasa kwa sababu gani?Alitaka kuhama kwa ajili yangu ila nikamshauri kwa vile anajenga na hapo kodi ni ndogo abaki tu akitoka hapo ahamie kwake.
Ila pamoja na kuwa kuna maisha fulani ya ajabu ila pamenisaidia sana ku improve social skill zangu.Nilikua napata tabu ku socialize ila pale kwa Muha pamenisaidia
HakikaHatari sana
Hatari sana
KumbeBig pussy gets wet early
Ajifunge tuKuna siku utamkuta muha amejifunga limchupi la dada bonge kama kilemba cha Tupac ndiyo utakohoa hadi magego yako yalegee.
Usije unajiliza humu JF.wewe si uliona alivyokuwa anauangalia mchupi wa dada bonge kwa uchu na huba?Ajifunge tu
Hata kama ila kwa Muha labda niharibu mwenyewe coz nishatolewa mahari.Mama yake anahimiza tufanye fasta tuoane.Hati yake ya nyumba kanipa nimshikie.Mmmh kwa maelezo Yako huishi HAPO umepeleka ichapwe na muhuni hivo nyote wadangaji TU. Ye keshasoma mchezo kilichopo. MANA UNAWEZA Kuta JAMAA Yako alirusha nanga wakamkataa SASA demu alivo kuona WEWE akamuonesha poti kua ye ni nani na we ni nani. VIZURI umesha jiongeza kwa ZILE dakika tatu. Umensikitisha KILA SIKU wazee weth humu wanapiga kelele kutoa tunda hovyo kabla ya NDOA we Leo TENA unarudia mistake. Ok msusie TU aichape haswaa
Kwa Muha siachiki 😃Nikuambie Tu
Muha??
Mtaachana Tu mchana kweupe
Tafuta mpenzi .huna chako hapo