Mnaojua maisha na codes za maisha ya Uswahili eti hii ina maana gani?

Mmmh kwa maelezo Yako huishi HAPO umepeleka ichapwe na muhuni hivo nyote wadangaji TU. Ye keshasoma mchezo kilichopo. MANA UNAWEZA Kuta JAMAA Yako alirusha nanga wakamkataa SASA demu alivo kuona WEWE akamuonesha poti kua ye ni nani na we ni nani. VIZURI umesha jiongeza kwa ZILE dakika tatu. Umensikitisha KILA SIKU wazee weth humu wanapiga kelele kutoa tunda hovyo kabla ya NDOA we Leo TENA unarudia mistake. Ok msusie TU aichape haswaa
 
Si mfunge ndoa .mnadate miaka minne sasa kwa sababu gani?
 
Hata kama ila kwa Muha labda niharibu mwenyewe coz nishatolewa mahari.Mama yake anahimiza tufanye fasta tuoane.Hati yake ya nyumba kanipa nimshikie.
Huyo dada bonge ana mumewe
,sanasana atagongwa apate hela ya vikoba then ataambiwa mimi nikiwepo asilete mazoea.
Na nikijua ataachwa mazima sbb mimi ndo ninayependwa😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…