Mnaojua maisha na codes za maisha ya Uswahili eti hii ina maana gani?

Mmmhh MBONA umenijibu kitoto SAna. Anyway SIJAJUA UMRI WAKO ILA hicho ulicho andika nmegundua mambo makuu matatu takwambia MOJA lenye vipengela a, b na c. A- MSHAMBA WA mapenzi, B- tegemezi(goal keeper), C- umekaa kizamani(hujui KUSOMA nyakati.kipi ufanye kipi USIFANYE na kwa wakati GANI KUSOMA hatari kabla haija leta maafa HAPO pote ni zero unaitaji kupikwa.

Bro alex on the beat.
 
Na wanaume walivyo na tamaa za ajabu usikute muha naye kashaanza kummezea mate huyo jirani
 
 
Ila bichwa komwe una hekaheka 😏
 
Nisamehe bure bro Alex, nahisi lile tukio limeathiri uwezo wangu wa kufikiri
 
Muha nae leo kaopoa 😀😀
 
Nisamehe bure bro Alex, nahisi lile tukio limeathiri uwezo wangu wa kufikiri
USIJALI kua NAE makini HIYO ni vita tayari. SIO KWAMBA anamtaka mumeo no.anataka muachane SINA HAKIKA ILA ni maelezo Yako. USIJALI kabla ya YOTE kama unatunywesha chai hua sijaribiwi be care. Kama ni kweli nakupa mambo matano Leo tutaanza na MOJA lenye vipengele I. Ii .iii .i-usimnununie relax mchekee tabasamu MSALIMIE popote ILA usijipendekeze. ii- usikubali hata kwa rungu aingie ndani kwa JAMAA akija kwako muwahi NJE FANYA CHOCHOTE asiingie ndani kwa JAMAA uwepo usiwepo SIJUI utatumia mbinu gani. iii- sali sana HAO SI wazuri KITU kidogo ANAWEZA KUKUpa ulemavu WA kudumu(kukuroga) au kukuchizisha au kukuondoa kabisa itategemeana kama utakuza bifu. rejea NAMBA MOJA ya kirumi kujikinga. Ukiona mnakatazwa kuishi uswahilini SI KWAMBA SI tuna PESA APANA huko Kuna mambo ya kijinga SANA heri uumie Kodi ILA uishi pazuri kwa usalama WAKO WA kiroho.

Bro alex on da beats
 
Kilichonichefua ni jinsi Muha alivyochukua zaidi ya dk 3 kukodolea macho ile michupi mikubwa kama mashati ya Lemutuz ☹️(RIP).
Huyu Muha nae kuna saa simuelewi😭.

🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…