Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,160
- 5,728
We MAKU kweli ushaona wanaochambua mpira pale kuna msanii wa mziki? Au dada yako yupo pale?We nae ni kiazi?, kwahiyo wanaojua wako super sport?. Kiazi mbatata kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We MAKU kweli ushaona wanaochambua mpira pale kuna msanii wa mziki? Au dada yako yupo pale?We nae ni kiazi?, kwahiyo wanaojua wako super sport?. Kiazi mbatata kabisa
Namuona mama yako!We MAKU kweli ushaona wanaochambua mpira pale kuna msanii wa mziki? Au dada yako yupo pale?
Bora mama yangu yupo pale mama yako nipo nae hapa kitambaa cheupe nam'bambia hapaNamuona mama yako!
Kabisa... Na Elimu imekuwa kubwa Sana kwetu sisi wengine.Majibu yote ya Mpira, mada imeenda vzr
Amna bna ukiangalia ile alipoenda kulia Kama sikosei ilikuwa ni wakati Simba walipata Kona kama sio faulo
Kwenye matukio hayo zimbwe huwa anabaki nyuma kama beki wa mwisho na mabeki wanaenda kucheza vichwa
Sema kilichofanya asurudi haraka ni mpira ulienda alipokuwa kwa hyo ikabidi abaki kule kwanza wamalizane hadi wachezaji wengine warudi kwenye nafasi zao
Lakini haya matukio huwa anafanya robo ya mwisho wa mchezo hasa timu ikiwa inaongoza. Siongelei wakati wa kona au faulo. Msimu huu ameshafanya hivyo game mbili, msimu uliopita nakumbuka walau game moja kumshuhudia akifanya hivyo.Hiyo ya nje ya mada: Mechi ya jana Simba walikuwa wanacheza walinzi watatu nyuma. Hivyo full back right na left wanakuwa na option ya kuongeza nguvu sehemu yoyote yenye mapungufu. Ingawa ni formation ya hatari pale ambapo timu poinzani ina wachezaji makini na wenye uwezo hasa kufanya mashambulizi ya kustukiza (counter attack). Rejea mechi ya fainali ya Ngao ya Jamii kati ya Azam FC na Yanga.
Labda kuna sababu nyingine mkuu mm sijui sana mpira ila nilijaribu kufikiria kulingana na tukio likivokuwaLakini haya matukio huwa anafanya robo ya mwisho wa mchezo hasa timu ikiwa inaongoza. Siongelei wakati wa kona au faulo. Msimu huu ameshafanya hivyo game mbili, msimu uliopita nakumbuka walau game moja kumshuhudia akifanya hivyo.
Mh sikumbk okra alikuwa anacheza upande wa kulia au kushotoKwa kuongezea tu, Yanga haijawahi kuwa na inverted winger, hili somo bado jipya kwao
Huyo ni moja ya punguaniz walio kwenye ignore listSwali zuri na majibu mazuri isipokuwa majibu ya exy
Wengi tu tumemuweka kwenye hiyo list anaozea hukoHuyo ni moja ya punguaniz walio kwenye ignore list
Tishaaaa sanaaa
Unamjua Mo Salah? Anapangwa upande upi?Enzi zetu za ligi za mchangani mtu anayetumia mguu wa kushoto huwa ama acheze namba tatu,sita na kumi na Moja (wahenga watanielewa)
Nashangaa Balua anatumia mguu wa kushoto lakini anapangwa namba saba.
Au ndiyo Mpira wa kisasa?
Hoja hapa ni kwa nini wanapangwa hivyo?Unamjua Mo Salah? Anapangwa upande upi?
Wewe inaonekana ni mtu wa mpira lakini nashangaa hili swali kuliuliza leo wakati haya mabadiliko yameanza miaka mingi iliyopita.Hoja hapa ni kwa nini wanapangwa hivyo?
Hapa ni sehemu ya kujuzana... Kudhani unachojua na wengine wanajua, ni kosa.Wewe inaonekana ni mtu wa mpira lakini nashangaa hili swali kuliuliza leo wakati haya mabadiliko yameanza miaka mingi iliyopita.
Enzi zetu za ligi za mchangani mtu anayetumia mguu wa kushoto huwa ama acheze namba tatu,sita na kumi na Moja (wahenga watanielewa)
Nashangaa Balua anatumia mguu wa kushoto lakini anapangwa namba saba.
Au ndiyo Mpira wa kisasa?
Lakini nadhani kwa Balua hana ufanisi unaotarajiwa.Kwa nini Mahrez alikuwa anapangwa 7 na Pep, kwa nini Robben alikuwa anakula mbavu ya kulia akiwa Chelsea, Bayern nk...
Mpira wa zamani mawinga walikuwa wanatumika kumimina majalo tu, nfio maana walipangwa pande ambazo ni za miguu yao natural...
Lakini kwenye modern football, mawinga wanahesabika kama washambuliaji wanaoshambulia toka pembeni na kuingia kati, winga anayetumia mguu wa kushoto akiwa upande wa kulia, akiingia kati na mpira inamuwia wepesi wa kushoot kwa kutumia upande wa ndani wa mguu...