Mnaokaa Uswahilini (Wilaya ya Temeke) Mungu awafanyie wepesi ndugu zangu. Jana machozi yalinitoka

Sijaishi ushuani Ila nimepata mialiko mingi so far sioni kwenye misosi cha ajabu coz wazee wangu walikuwa vizuri kipindi tunakuwa.....

Exposure nimezipata mapema kidogo.......

Lakini dar bado wenye njaa ni wengi
 
....ni wengi mnoo mkuu.
 
Kule mbagala Kuna sehemu wanauza ngozii na kende za mbuzi/ ngombe Kuna utumbo wa kuku Kuna supu ya miguu ya nguruwe

Balaa Kuna rafiki angu mmoja alikua anapitia magumu akawa anaenda kula ngozi na supu yake yaan fresh kabisa..
Hivi tule tumishikaki, visamaki vya kukaanga na mihogo ya koko bichi, wanaowekewa kule ni wa Mbagala?
 
Unabakiwa na elf 2, halafu unawaita watu wanaishi uswahilini. Je ukipata dharura hiyo elf 2 itakufaa nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…