Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Polee sana mkuu nakuelewa ulivyo jisikia ili urudi tena ukasaidie hao vijana.... mtaani kwenu na washkaji zako azisha kampeni ya michango then mnaenda kusidia hao vijana! Bdo unaweza kuwa msaada kwaoMimi ninakaa Wilaya ya Ilala. Jana nilikuwa Wilaya ya Temeke nilishuhudia mida ya mchana badala ya mama kuwapikia watoto (watoto walitoka kucheza wakaja kulalamika njaa inawauma) akawapa 500 wote wawili wakanunue bagia na askrimu (ice cream) na ndio imetoka hiyo mpaka Usiku, kulingana na maelezo ya mwenyeji wangu. Sema na mimi nilikuwa majalala, nilibakiwa na nauli tu 2,000, laiti kama ningekuwa na kitu chochote ningeweza kuwaongezea hata 500 nyingine aisee.
Kama hauna pesa ya kumsaidia mtoto masikini, basi mkumbuke hata wakati wa sala au swala.
Daah, uswahilini panatisha wadau, hususan kwa watoto wadogo.
Aisee!! Mungu akusamehe bureMaiti wanaozidiana kunuka
No matter unakaa TMK au Ilala ila kitendo cha OP kukosa hata 500 ya ziada mfukoni kulikuwa hamna haja ya kuanzisha huu uzi 😅🚮🚮
Wait, una uhakika hayo machozi yalikutoka kwaajili ya hao watoto kweli?? 😂
Machozi ya kujihurumia endapo akikuta konda anasema route za usiki 2500No matter unakaa TMK au Ilala ila kitendo cha OP kukosa hata 500 ya ziada mfukoni kulikuwa hamna haja ya kuanzisha huu uzi 😅🚮🚮
Wait, una uhakika hayo machozi yalikutoka kwaajili ya hao watoto kweli?? 😂
Katafutia kichaka cha kumwagia machozi.Kwamba jamaa anastress so katafuta tukio la kushusha mavitu kichwani mwake? 😭🤣🤣🤣
Niliogopa kuomba michango humu JF kwa sababu watu wangedhania kwa mimi ni tapeli..Polee sana mkuu nakuelewa ulivyo jisikia ili urudi tena ukasaidie hao vijana.... mtaani kwenu na washkaji zako azisha kampeni ya michango then mnaenda kusidia hao vijana! Bdo unaweza kuwa msaada kwao
Endelea kuamini hivyo hivyo..Katafutia kichaka cha kumwagia machozi.
Unasikitisha sana..Machozi ya kujihurumia endapo akikuta konda anasema route za usiki 2500
Aisee..Kwamba jamaa anastress so katafuta tukio la kushusha mavitu kichwani mwake? 😭🤣🤣🤣
Thanks 👍Sisi wengine tuliokulia vijijini tulikuwa hatupati hata hizo Aisklim! Unakomaa na njaa tangu asubuhi mpaka usiku.
Lakini tulikua mpaka tukatoka kimaisha.
Hata hivyo nakupongeza kwa moyo huo wa huruma! Barikiwa.
Sawa mkuuNakazia
That's how life is huku Uswazi kwetuAisee
Yes. Hayo ndio maisha ya uswahilini kwetuMaiti wanaozidiana kunuka
We ndio huyo mama aliyetoa 500 kwa watoto wake nini maana si kwa makasiriko hayo😀😀😀😀Wewe unayeishi Ilala na hao wanaoishi Temeke tofauti yenu ni nini ikiwa mwanaume mzima ulibakiwa na nauli tu? Kisha unaleta masimango humu ilimladi tu uonekane umeanzisha uzi?
Mleta uzi kumbe nae mchovu tu hajiwezi,apuHi
Nyote ni walewale hata kwako mnashindia uji! Ulishindwa nini hata kumpigia mamsapu akutumie hata buku 5 ukawanunulie kilo mbili za mchem