Mnaokula Cone na kuzama chumvini hivi mdomo huohuo ndo unaoutumia kumsifu Mungu?

Kuna vingi tu biblia haijaviandika mkuu.
Kusema kunyonya sehemu za Siri hajaandikwa ni sawa na kusema
Kupandikiza mbegu za uzazi na kupata mtoto ni sawa.
 
Hebu nionyeshe wapi Mungu amekataza kunyonya uchi?😁😁😁
 
Huna jibu wewe nimeuliza chanzo Cha huyo kiumbe mwenzake aliyezaa kiumbe alitokana na Nini?
Na huyo Mungu alitokana na nini?

Mbona hujiulizi hili swali?

Kwa nini unataka kufosi viumbe viwe na chanzo halafu hujiulizi chanzo cha huyo Mungu ni nini?
 
Kuna vingi tu biblia haijaviandika mkuu.
Kusema kunyonya sehemu za Siri hajaandikwa ni sawa na kusema
Kupandikiza mbegu za uzazi na kupata mtoto ni sawa.
Boss, Kuna dhambi gani katika kupandikiza mbegu ukapata mtoto?
 
Na ndio huohuo unamtukana mzazi mzaa chema matusi mazito mpaka unaogopa ..na ndio huohuo unakula mate ya mtu yakiwa mdomoni lkn yakitemwa unaona kinyaa
 
Toa ushuda wa kina wenyew wanapofika kutoka kuimba kwaya watuelezeπŸ˜‚
 
  • mkuu kupoteza mke kupo tu, ila kaa ukijua tendo la ndoa ni uchafu.
  • pili hatuwalidhishi wenza wetu ili wastuache, ni starehe kama stareh zingne na kujimwambafy.
inawezekana hata chuchu za dem wako hulambi wew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…