Mnaolalamika mwezi mzima maji hayatoki msizue taharuki mitandaoni, tuendelee kulinda amani, amani ni bora kuliko maji

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Hivi ndivyo wapumbavu na watu wachache wapumbavu wanataka watu waishi, hakuna uwajibikaji

Utawasikia wapumbavu

"Halafu kulalamika lalamika maji ni kampeni za kuichonganisha serikali "sikivu" na wananchi wake.

Tuwakatae hawa wachonganishi hatutaki uvunjifu wa amani sisi hatujazoea"

Sasa hapo tuweke maji halafu amani itafuata na kelele zitaisha au tuweke amani bila maji?
 
Hivi ndivyo wapumbavu na watu wachache wapumbavu wanataka watu waishi. hakuna uwajibikaji

Utawasikia wapumbavu

"Alafu kulalamika lalamika maji ni kampeni za kuichonganisha serikali "sikivu" na wananchi wake. Tuwakatae hawa wachonganishi hatutaki uvunjifu wa amani sisi hatujazoea"

Sasa hapo tuweke maji alafu amani itafuata na kelele zitaisha au tuweke amani bila maji ?
Kwanini bwawa la Kidunda halikufanyiwa kazi miaka 4 iliyopita.
 
Hivi ndivyo wapumbavu na watu wachache wapumbavu wanataka watu waishi. hakuna uwajibikaji

Utawasikia wapumbavu

"Alafu kulalamika lalamika maji ni kampeni za kuichonganisha serikali "sikivu" na wananchi wake. Tuwakatae hawa wachonganishi hatutaki uvunjifu wa amani sisi hatujazoea"

Sasa hapo tuweke maji alafu amani itafuata na kelele zitaisha au tuweke amani bila maji ?
Maji yanapatikana nyumbani kwa Abduli wote twendeni huko tukachote
 
Ulitaka watu wakarushe mawe ikulu ama kurushiana mawe na AK 47? Au kuchoma maduka na mabasi ya mabilionea akina abood na shabiby
 
Hivi ndivyo wapumbavu na watu wachache wapumbavu wanataka watu waishi, hakuna uwajibikaji

Utawasikia wapumbavu

"Halafu kulalamika lalamika maji ni kampeni za kuichonganisha serikali "sikivu" na wananchi wake.

Tuwakatae hawa wachonganishi hatutaki uvunjifu wa amani sisi hatujazoea"

Sasa hapo tuweke maji halafu amani itafuata na kelele zitaisha au tuweke amani bila maji?
TEC
 
Naikataa dhana ya serikali na wananchi wake.
Hii inaonyesha/ tengeneza pucha kuwa, wananchi ni mali/ wanamilikiwa na serikali.
Kinyume chake ndio uhalisia, sio dhana hii.
 
Hivi ndivyo wapumbavu na watu wachache wapumbavu wanataka watu waishi, hakuna uwajibikaji

Utawasikia wapumbavu

"Halafu kulalamika lalamika maji ni kampeni za kuichonganisha serikali "sikivu" na wananchi wake.

Tuwakatae hawa wachonganishi hatutaki uvunjifu wa amani sisi hatujazoea"

Sasa hapo tuweke maji halafu amani itafuata na kelele zitaisha au tuweke amani bila maji?
Sisi watu milioni 31 tuliompigia kura Samia kwetu maji yanatoka,labda ambao hawakumchagua Samia
 
Linda amani ya nchi yako, usilalamike. Malalamiko yanahamasisha vurugu.

Amani ni bora kuliko maji.
Na Mimi nauliza Ulitaka watu wakarushe mawe ikulu ama kurushiana mawe na AK 47? Au kuchoma maduka na mabasi ya mabilionea akina abood na shabiby
 
Back
Top Bottom