Mnaolalamika mwezi mzima maji hayatoki msizue taharuki mitandaoni, tuendelee kulinda amani, amani ni bora kuliko maji

Mnaolalamika mwezi mzima maji hayatoki msizue taharuki mitandaoni, tuendelee kulinda amani, amani ni bora kuliko maji

🤣😅😀tutasikia wakisema
Wazungu wanatuonea wivu Rasimali zetu
 
Maji ni uhai. Tunahitaji suluhisho la upatilanaji wa maji safi na.salama.

Story zingine tuwaachie akina mwijaku.na.mpoki
 
Hivi ndivyo wapumbavu na watu wachache wapumbavu wanataka watu waishi, hakuna uwajibikaji

Utawasikia wapumbavu

"Halafu kulalamika lalamika maji ni kampeni za kuichonganisha serikali "sikivu" na wananchi wake.

Tuwakatae hawa wachonganishi hatutaki uvunjifu wa amani sisi hatujazoea"

Sasa hapo tuweke maji halafu amani itafuata na kelele zitaisha au tuweke amani bila maji?
Amani Kwanza, hiyo amani ndiyo tutainywa, tutaioga, tutapikia vyakula, tutafulia nguo na shughuli nyingine zote zinazohitaji maji kuainzia sasa tunaachana na maji na kutakuwa tunatumia amani.
 
Chadema wasituchoshe si wachanganye 2H2 + O2 = 2H2O
sisi ccm hatuna hiyo shida ya maji
 
KUNA WATU HAWANA AKILI

Hivi maisha ya dar na joto hili watu wasilalamike?Wewe jamaa ni zaidi ya mwanaharam
 
Oyaa lindeni amani kwa ghalama yoyote ile

Maji nendeni pale coco beach mkaoge na kunywa
Kama una ndoo kachote peleka nyumbani

Tupo msibani hapa Mbinga hatutaki kelele!
 
1765650084097.jpg
 
Back
Top Bottom