Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Kwanini bwawa la Kidunda halikufanyiwa kazi miaka 4 iliyopita.Hivi ndivyo wapumbavu na watu wachache wapumbavu wanataka watu waishi. hakuna uwajibikaji
Utawasikia wapumbavu
"Alafu kulalamika lalamika maji ni kampeni za kuichonganisha serikali "sikivu" na wananchi wake. Tuwakatae hawa wachonganishi hatutaki uvunjifu wa amani sisi hatujazoea"
Sasa hapo tuweke maji alafu amani itafuata na kelele zitaisha au tuweke amani bila maji ?
Maji yanapatikana nyumbani kwa Abduli wote twendeni huko tukachoteHivi ndivyo wapumbavu na watu wachache wapumbavu wanataka watu waishi. hakuna uwajibikaji
Utawasikia wapumbavu
"Alafu kulalamika lalamika maji ni kampeni za kuichonganisha serikali "sikivu" na wananchi wake. Tuwakatae hawa wachonganishi hatutaki uvunjifu wa amani sisi hatujazoea"
Sasa hapo tuweke maji alafu amani itafuata na kelele zitaisha au tuweke amani bila maji ?
Bajeti nyingi kubwa wizara ya maji karibia matrion ila wanategemea mvua 😁
TECHivi ndivyo wapumbavu na watu wachache wapumbavu wanataka watu waishi, hakuna uwajibikaji
Utawasikia wapumbavu
"Halafu kulalamika lalamika maji ni kampeni za kuichonganisha serikali "sikivu" na wananchi wake.
Tuwakatae hawa wachonganishi hatutaki uvunjifu wa amani sisi hatujazoea"
Sasa hapo tuweke maji halafu amani itafuata na kelele zitaisha au tuweke amani bila maji?
Sisi watu milioni 31 tuliompigia kura Samia kwetu maji yanatoka,labda ambao hawakumchagua SamiaHivi ndivyo wapumbavu na watu wachache wapumbavu wanataka watu waishi, hakuna uwajibikaji
Utawasikia wapumbavu
"Halafu kulalamika lalamika maji ni kampeni za kuichonganisha serikali "sikivu" na wananchi wake.
Tuwakatae hawa wachonganishi hatutaki uvunjifu wa amani sisi hatujazoea"
Sasa hapo tuweke maji halafu amani itafuata na kelele zitaisha au tuweke amani bila maji?
Linda amani ya nchi yako, usilalamike. Malalamiko yanahamasisha vurugu.Ulitaka watu wakarushe mawe ikulu ama kurushiana mawe na AK 47? Au kuchoma maduka na mabasi ya mabilionea akina abood na shabiby
Na Mimi nauliza Ulitaka watu wakarushe mawe ikulu ama kurushiana mawe na AK 47? Au kuchoma maduka na mabasi ya mabilionea akina abood na shabibyLinda amani ya nchi yako, usilalamike. Malalamiko yanahamasisha vurugu.
Amani ni bora kuliko maji.