Mnaolinganisha mafanikio ya Rais Samia na Rais Nyerere, huenda mna tatizo la afya ya akili kwa kutozingatia ukweli huu hapa

Kulinganisha Samia na Nyerere ni sawa na kulinganisha ugonjwa na uzima au kipere na mlima Everest. Nyerere alikuwa na akili na busara pia elimu. Alijua alichokuwa akifanya. Alitawala kwa sera na siyo sifa. Nyerere alijitengeneza hakutengenezwa. Nyerere alikuwa rare breed katika ulimiwengu wa sasa ulijaa vilaza na madikteta na machawa.
 
Mkuu, udhaifu wa kibinadamu kuna mtu, au maraisi waliofuatia ambae hakuwa nao? Hata hivyo, tusije tukaanza kuita ufisadi ni udhaifu wa kibinadamu!
Ni wachache sana wanaopewa nafasi ya urais halafu wanaepuka kabisa suala zima la kuwa mafisadi.

Usafi wako wewe rais hauwezi kuvishinda vishawishi vya ndugu na jamaa wanaokuzunguka.
 
Machawa yanapokuwa na jambo lao, yako tayari kusema lolote
 
Nyerere hawez kosa mapunguf as long as ni mwanadamu.Lakin hii hulka ya kumlinganisha JKN iliyoanza kuvuma zaid awamu ya tano,kiukweli ni ishara mbaya kwa msingi wa Taifa.Ila ni vema voingoz wa awamu husika wakemee hiyo tabia kulinda ldgacy ya baba wa taifa.
 
🤣 🤣 🤣
 
Nyerere halinganishiki na rais yeyote yule aliyepita, aliyepo na atakayekuja. Wale ni aina za watu unawapata mara moja baada ya vizazi vingi sana. Sio malaika, wala sio mkamilifu na wala sio kuwa sera zake zote zilikuwa nzuri, ama alifuata demokrasia 100%, ama hakufanya makosa ya kiuongozi na kiutendaji. Ila tu vision kubwa ya kitaifa aliokuwa nayo, charisma yake, na misingi ya maendeleo aliyoijenga yanampa wasifu wa kuwa mbali sana na marais wote wa Tanzania waliopita, sasa na watakaokuja.
 
Huyo Nyerere wakati wake magazeti yalikuwa matatu tu, uhuru wa habari ungekuwa sawa na leo tungeyajua madhambi yake mengi.
Hata kama yangekuwepo magazdti milioni, Nyerere kumlinganisha na Rais yeyote Tanzania na Africa ni kuikosea heshima Tanganyika, na Africa kwa ujumla. Mfano wa Nyerere hajazaliwa bado. Sitarajii kuona Kiongozi anakataa zawadi alipostaafu na hataki hata kujengewa nyumba ya kuishi.
 
 
Na ndiyo maana mimi sijawahi mkubali Magufuri kwa sababu ameleta mgawinyiko na matabaka nchini mwetu.
 
Ndio sawa na miaka 25 aliyokaa madarakani?

By the way sidhani kama wanalinganisha ila wanaeleza mafanikio ya uhuru kutoka ilivyokuwa Hadi Sasa.

Ligi ni awamu ya 5 vs awamu ya 6,,usitutoe kwenye reli.
 
Sidhani kama Kuna watu wanamlinganisha samia na nyerere ni kumkosea heshima baba wa taifa. Maana alive aliweza fanya mengi pasipokuwa na hela. Ila niliwahi ona watu wakimlinganisha magu na baba taifa au magu na Samia na ukweli Samia amefanya mengi kuliko hata huyo magu ila hajafikia hata robo ya baba wa taifa
 
Ni wachache sana wanaopewa nafasi ya urais halafu wanaepuka kabisa suala zima la kuwa mafisadi.

Usafi wako wewe rais hauwezi kuvishinda vishawishi vya ndugu na jamaa wanaokuzunguka.
Ikiwa Abdul atafanya ufisadi kwa kivuli cha mama yake Raisi Samia, halafu siku akifikishwa mahakamani Samia ajitetee kwamba mimi sikuwa na habari wala kuhusika na uvunjaji sheria aliokuwa anafanya kwa kutumia mgongo wangu, atakuwa hasemi kweli!
 
Ikiwa Abdul atafanya ufisadi kwa kivuli cha mama yake Raisi Samia, halafu siku akifikishwa mahakamani Samia ajitetee kwamba mimi sikuwa na habari wala kuhusika na uvunjaji sheria aliokuwa anafanya kwa kutumia mgongo wangu, atakuwa hasemi kweli!
Unaweza kuweka humu ushahidi wa biashara anayoifanya Abdul au ni ule ule ujinga wa mipasho ya mitaani?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…