LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,943
- 37,839
Habari ndugu yangu, Kuna hizi meseji Kanitumia Mdogo Wangu Jana asubuhi, kitu kizuri nilikuwa online muda huo nilicho fanya niliscreenshort haraka na nikasevu na video kabisa, baada ya dakika tatu alifuta.
Baada ya kufuta na Mimi nilitulia Wala sikumtafuta na yeye akawa kimya tu, ila ilivyo fika Mchana nafsi yangu iligoma kuvumilia nikamrudishia hizo meseji na video nikamwuliza huyo ni nani?
Alicho nijibu ni kuwa ni rafiki yake alikosea, nikasema sawa, lakini nikamwuliza mbona video ni yeye? Alikataa kabisa kuwa siyo yeye wakati mpaka sura yake inaonekana.
Ikabidi nimpigie dada yetu kumweleza naye akaniambia Kuna siku pia aliona mdogo wangu huyu huyu Kapost video yake ya utupu Facebook story ila baada ya mfupi aliifuta.
Kinacho niuma ni kwamba huyu mdogo wetu yupo chuo Cha nesingi mwaka wa pili anachukua diploma, ada Kwa mwaka tuna mlipia milioni mbili na laki Moja, Wana kula chuoni na pesa ya Matumizi Kila Mwezi tuna mtumia laki na ishirini ambayo huwa tuna changia Mimi na dada, Sasa nimeshangaa hiki kitu, ila dada yeye anasema alisha gundua hicho kitu ila aliamua kunyamaza tu.
Yani mpaka nawaza sijui niachane na kulipia ada mana najibana sana Kwa ajili yake halafu nakuja kuona huu upuuzi tena mtu mwenyewe anasomea masuala ya Afya.
Credit: Mastory Yetu Facebook Page.
Makaga Campaign ( Making Kayumba Schools Great Again)
Haya sasa twende kazi..... Kimbia haraka sana nenda kamtoe mtoto wako shule ya EMS umpeleke Kayumba.
Thank me later 🙏🙏🙏🙏