U got it twisted bro. Hakuna sehemu nimehusisha biashara ya utelezi na EMS au Kayumba..Biashara ya utelezi ina uhusiano gani na EMS au hizo kayumba?
Uongo tu kama ma aHadi ya chama fulaniNime mnukuu huyo mzazi victim.. Ndio anasema kuna picha na video sio mimi...
Wanajua p 2 basi.yaani ni hatari.wanaogopa mimba hatariiCondom mlikuwa mnatumia nyie millenials. Hawa Gen Z hawajui condom
Tuanzie hapo ili iweje mkuu elewa unavyoelewa na somesha unakosomesha maisha yaendelee...Elimu Bora ni nini mkuu? Tuanzie hapo
Elimu bora ni nn?Usiache kukwepa majukumu ya kuwapatia elimu bora watoto wako kwa kuogopa eti atakuja kuwa kama huyo mmoja aliyekengeuka.
Wazazi wenzangu, kama uwezo upo usiache kumsomesha mtoto wako shule nzuri na bora
Wanasema elimu ni ufunguo wa maisha, hebu tujitahidi kuwasaidia wao kupata ufunguo wa maisha kuwawezesha kukabiliana na mazingira hatarishi baada ya sisi Wazazi wao kuondoka Duniani
Sambamba na hilo, tuendelee kuwapatia malezi bora yatakayowasaidia kuwa baba na mama bora kwenye maisha yao
Ni vyema kuwalea katika hofu ya Mungu, mtoto aliyelelewa kwenye maadili mema, hawezi kujianika hadharani kwamba anafanya hayo mambo ya hovyo aliyoandika mtoa mada
Inawezekana, tutimizeni wajibu wetu kama wazazi
Mungu atulindie vizazi vyetu 🙏🙏🙏
Kama umri huo Mkuu hujaweza kujua utofauti wa elimu bora na isiyo bora, basi Kuna tatizoElimu bora ni nn?
Sasa mkuu unauliza sifa za kitu kizuri tujadili tena daah...Mkuu una mbio wewe hatari.. 🤣🤣🤣 haya sikukimbizi