Mnaolipa mamilioni kusomesha watoto EMS mmesikia kilichomkuta huyu jamaa kwa binti yake?

Mnaolipa mamilioni kusomesha watoto EMS mmesikia kilichomkuta huyu jamaa kwa binti yake?

Wacha kukimbia swali mkuu sema elimu bora ni nini?

Chochote unachokipata kwa kulipia, lazima kiwe bora Mkuu

Huwezi kumpeleka mtoto akasome shule ambayo haina Maabara za masomo ya Sayansi then utegemee atafanana na mwanafunzi anayesoma kwenye shule zenye facilities zote muhimu kujifunza
 
Back
Top Bottom