Mnaomfananisha Mbahatishaji Chama na Anayejua Aziz K mna Akili sawa sawa Kweli?

Mnaomfananisha Mbahatishaji Chama na Anayejua Aziz K mna Akili sawa sawa Kweli?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Ukiona mpaka GENTAMYCINE (mwana Simba SC tukuka na lia lia ) navutiwa Kumtizama Mfalme wa Kipaji cha Mpira kutoka nchini Burkinafaso Stephane Aziz K ( pamoja na kwamba siipendi Yanga SC ) jua ya kwamba huyo Mtu anajua hasa kwani Kiasili huwa sipendi Vibovu Vibovu.

Kuanzia leo hii GENTAMYCINE natangaza rasmi kuwa Mchezaji Stephane Aziz K ndiyo Mchezaji mwenye Kipaji Kikubwa NBC Premier League, anaisaidia Timu Kiuhakika na anajua Kuonyesha Thamani yake Uwanjani na sote tunaiona.

Yoyote Yule atakayeuchukia huu Ukweli wangu kumhusu huyu Mchezaji awahi Duka lolote lililo karibu nae anunue Sumu ya Panya anywe ili Afe aniondolee Udhia / Kero.

Chama wetu hamfikii Aziz K kabisa!!!
 
Back
Top Bottom