Mnaomshambulia RC wa Arusha, mnafurahia kiongozi wetu kutukanwa?

Mnaomshambulia RC wa Arusha, mnafurahia kiongozi wetu kutukanwa?

Aliyekuwa Katibu Mwenezi ambaye ni RC Arusha sasa, aliteuliwa siku DP World wanasaini HGA.

Ndipo uone, mtu huyu anatumika kuzima mijadala muhimu ya kitaifa isijadiliwe ipasavyo.

Tustuke.
Umeongea kweli mkuu.
 
Kwa hiyo na wewe unaamini kuna watendaji na washauri wa karibu wa Rais (Mawaziri) wanamtukana Bosi wao! Kama ni kweli basi inawezekana huyo Bosi wao atakuwa ana mapungufu mengi ya kiuongozi bila shaka.
Nakubaliana na wewe, kwa nini wamtukane kifichoni, labd wameona mapungufu mengi kwake na wanashindwa kumueleza...
Pamoja na hayo, kwa nini waendelee na uwaziri, huo ni uwoga na unafiki.
 
Nakubaliana na wewe, kwa nini wamtukane kifichoni, labd wameona mapungufu mengi kwake na wanashindwa kumueleza...
Pamoja na hayo, kwa nini waendelee na uwaziri, huo ni uwoga na unafiki.
Adui wa mtu,ni yule wa nyumbani mwake .
 
Back
Top Bottom