Mnaomshambulia RC wa Arusha, mnafurahia kiongozi wetu kutukanwa?

Mnaomshambulia RC wa Arusha, mnafurahia kiongozi wetu kutukanwa?

Nitaendelea kulia na wafanya maamuzi wa hii nchi hasa wale wasioonekana Kwa public!!

SIASA IWE KAZI YA KIZALENDO SIO KAZI YA MAPESA MENGI NA KUTAJIRIKIA KAMA ILIVYO SASA!!

TUNATAKA MATAJIRI WATOKANE NA KILIMO CHA KISASA,BIASHARA,UELEDI KATIKA ELIMU NA UTAFITI NA SIO SIASA!!

NANI ASIMAMIE HILI NDUGU ZANGU!!?

NANI ATUTOE KWENYE HILI JANGA!!?

NANI ASHUSHE MISHAHARA NA POSHO PLUS ANASA SIASANI!!?SIO MIMI!!?NANI MWINGINE!!?
WABUNGE WAPOKEE ROBO YA MSHAHARA WA SASA NA POSHO ZAO!!SIASA IWE KAZI YA KUJITOLEA NA SIO KAZI YA MAPESA!!

MUNGU IBARIKI Tanzania!
Wewe hapo "NAMBA MOJA AJAYE NCHINI"tunaomba utuvushe kwenye mengi kati ya hayo,,Kama kweli utakuwa namba moja kufika Sawa!!
 
Kiukweli kabisa kwenye nchi ya kidemokrasia haswa wananchi wanatakiwa kuwa na haki ya kumtukana rais wanavyotaka bila kusumbuliwa na serikali.

Hiyo inatakiwa kuwa ni sehemu ya uhuru wa kujieleza.

Ukiona nchi watu wanafuatiliwa sana kwa kumtukana rais hiyo ni alama ya nchi kujielekeza kwenye udikteta.

tunatakiwa tutofautishe kati kutokubaliana nae, kumponda, kumkosoa, na Kumtukana. Kumtukana na kumkashifu ni kitu ambacho hakikubaliki kabisa. Ila Hakuna shida kumkosoa wala kumpinga.
 
Hii ni maadili Republic
 
tunatakiwa tutofautishe kati kutokubaliana nae, kumponda, kumkosoa, na Kumtukana. Kumtukana na kumkashifu ni kitu ambacho hakikubaliki kabisa. Ila Hakuna shida kumkosoa wala kumpinga.
Hapana.

Hata kumtukana na kumkashifu iwe sawa tu.

Ukianza habari za "kumtukana na kumkashifu haikubaliki ila kutokubaliana naye, kumponda, kumkosoa ni sawa" hapo sasa kutazuka mjadala mkubwa sana wa tofauti ya kumtukana, kumkashifu, kumponda, kumkosoa, kutokubaliana ni nini.

Nikisema "li Samia ni jitu jinga kabisa haliwezi urais linateua watu kuwa mawaziri bila kuwachuja mwishowe wanalitukana", nikasema ninayosema ni kweli ushahidi katoa Makonda, na Samia hajakanusha, hapo sasa nimemtukana, nimemkashifu, sijakubaliana naye, nimemponda au nimemkosoa?
 
Salaam, shalom!!

Nimefuatilia hotuba fupi ya RC wa Arusha, ilijaa utulivu na mtiririko uliopangika kabisa, hivyo kusema kuwa aliropoka, Si Kweli, alidhamiria kusema aliyosema,

Tangu Mropokaji yule achafue Hali ya hewa majuzi, Waziri wa habari hakusema chochote, waziri wa Mambo ya nje kadharika aliamua kukaa kimya, Hilo pekee linatosha kumpa RC ujasiri wa Kutoka kukemea,ukizingatia, ameyasema hayo ndani ya Mkoa wake kimamlaka.

Kwa kuwa watu wale wale waliomtukana Shujaa Magu, ndio hao hao wanaorudi kumtukana Sa100
, ni sawa kabisa RC atoke kukemea.

NB: Kwa kuwa tumekubali kutolewa katika mijadala muhimu kama Tume ya Uchaguzi kubadilishwa Jina,KATIBA mpya, DP world kuanza KAZI bila kutaja wamewekeza Bei Gani, Ripoti ya CAG kuwekwa pembeni Kwa kuibua HOJA hafifu za kujadili matusi, basi tuendelee!!!

Karibuni🙏
Kwani unatakaje mkuu?
Kula mle ninyi peekee yenu wenye kamba ndefu,lkn kusikitika tusikitike pamo1,kuna usawa hapo kweli?
 
Huwa nampinga sana Rc wa Arusha,

Katika hili Yuko sawa,

Sa100 afumbe macho awatimue.
Huyo binti nafikiri walikuwa na dili, maelewano flani hivi na SSH labda mpunga mrefu au labda ubalozi Marekani kwa kumpigania Samia na kudhalilisha JPM.

Alikosa vyote, akaambuliwa kurudishiwa passport yake na kupiga picha mshikaji wake Samia.
 
Huihui2 kwanini hukemei wanaomtukana kiongozi wetu mitandaoni?

We Kila kukicha RC!!
Kuna uhuru wa maoni ambao Rais Samia ameahidi kuuheshimu kwa vile unatambulika kikatiba. Kama kuna matusi basi aggrieved parry ana ruhusa ya kufungua mashtaka kupata haki yake
 
Kuna uhuru wa maoni ambao Rais Samia ameahidi kuuheshimu kwa vile unatambulika kikatiba. Kama kuna matusi basi aggrieved parry ana ruhusa ya kufungua mashtaka kupata haki yake
Uhuru wa Kutoa maoni ya matusi imeandikwa kifungu Gani Cha Katiba?
 
Back
Top Bottom