Mnaomshauri Rais juu ya Ikulu mpya Chamwino muogopeni Mungu

Labda nimeelewa vibaya kuwa eneo la Ikulu ni kubwa mno
Sidhani huo ukumbi utakuwa karibu na Ikulu

Kwanza mjue eneo la Ikulu ni ukubwa gani ndio muanzie hapo
Nasubiri wa karibu hapo
Tatizo si eneo.
Hebu linganisha na mfano huu.
Ikulu ni mahali nyeti kuliko kambi yoyote ya Jeshi.
Sasa pale Lugalo wewe kaweke ukumbi wa mikutano kwa watu 3000.
Mtu atakuona mwehu!
 
Labda nimeelewa vibaya kuwa eneo la Ikulu ni kubwa mno
Sidhani huo ukumbi utakuwa karibu na Ikulu

Kwanza mjue eneo la Ikulu ni ukubwa gani ndio muanzie hapo
Nasubiri wa karibu hapo
Hata kama eneo kubwa ila ni ndani ya Ikulu, tatizo tiaiesi wamejaa uvccm na baba/mama zao unategemea ufanisi utoke wapi
 
Ni kweli kaka lakini kutokana na unyeti wa ikulu na udhaifu wa ulinzi wetu ulio legezwa na wana siasa watu ndio wanakuwa na mashaka na hilo, kumbuka sasa Dunia imekuwa ina mambo mengi sana hasa ya ugaidia nk.
 
Hilo jambo utaishia kulisikia tu, halitatekelezwa.

Hadi kufikia tamati ya uongozi huu wa mpito, tutakuwa tumeona mengi.
 
Kama ni "kuchezea kodi" basi aliyeleta wazo la kuhamishia makao makuu Dodoma na kuziasisi CDA ndiye mwenye makando makando hayo. Unamkumbuka ni nani?
 
Unanikumbusha kipindi fulani cha mzee wa msoga, niliwahi kufanya oral katika taasisi moja ya kiserikali, wakawa wananiuliza uliza maswali ambayo hayaendani kabisa na kada nayoenda kuifanyia kazi, maswali kuhusu miradi mingi ya kiserikali na mambo ya chama.

Jinsi nilivyokua nawajibu juu juu, wakagundua kuwa mimi sio mfuatiliaji mzuri sana wa habari za siasa na serikali. Mwisho wakaniuliza kwanini sifuatilii kwa ukaribu mambo yanayohusu nchi yangu?

Nakumbuka niliwajibu "Kwa sababu mambo mengi yanayoendelea kwenye nchi yangu yananipa huzuni zaidi kuliko furaha".

Wakacheka sana na ile kazi hawakunipa kiroho mbaya!
 
ikulu ni jumba la utawala na huwezi kuitenga ikulu na usiri.

ikulu sio mahali pa kufanya biashara, Sasa huo m complex , wa Nini . sio mahali pake hapo. hizo pesa za kujenga Samia complex mbuni kitu kingine , na kiwe nje na ikulu , ili wananchi wote wawe na fursa ya kupa fikia .
 
Tatizo si eneo.
Hebu linganisha na mfano huu.
Ikulu ni mahali nyeti kuliko kambi yoyote ya Jeshi.
Sasa pale Lugalo wewe kaweke ukumbi wa mikutano kwa watu 3000.
Mtu atakuona mwehu!
Wao wanawaza sherehe tu ndio akili zetu mwisho hapo

White house yenyewe iko sehemu ambayo watu wanapita na ni hatari mpaka yule jamaa akaja na bunduki na kuanza kupiga hovyo pale.

Ila ulinzi ni wa Mungu tu na sisi tunaenda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…