Mnaomtetea Magufuli mitandaoni wengi wenu hamumjui vizuri, mnamfahamu juu juu tu

We
wewe ni mjinga unayeishi. Wewe unamjuaje magufuli kwa undani ? Kumbe hata hujui kwamba dereva wake akiwa waziri ndiye huyo huyo alikuwa akimuendesha akiwa Rais. Magufuli hawezi kuwa rafiki wa jinga kama wewe na tapeli jizi. Magufuli yupo mioyoni mwetu. Mama Yako kaachia matapeli Yale kwa urefu wa kamba ndiyo umfananishe na jembe? Hawezi na hataweza kamwe. Wewe jizi moto wa Jehanam unakusubir. Kwasasa shangilia na furahi watanzania kuibiwa lakini mwisho wa uhai wako utaona
 
Wanaendeshwa na mahaba niue tu.

Ukiangalia mkewe alivyonawiri baada ya yule mzee kufariki tu utagundua yule mzee alikuwa tatizo lililoshindikana
Na kweli yule mama alinawiri sanaa baada ya kifo cha mumewe🤔🤔🤔
 
Mkuu kuna Lile suala la kifo cha Binti yake kilicho gubikwa na usiri mkubwa ,kuna yeyote humu akatusimulia?
 
Samia kaleta maendeleo? Njoo huku jimbo la Ukonga uongee huo ujinga! Labda kama kamzidu JPM ni kuzurula sawa!
Ila ukweli usemwe, Samia pamoja na mapungufu yake ila kwa kipindi kifupi amefanya mengi kuliko huyo JPM wenu.
 
Mkuu mbona umeandika ki 'vyeti feki' sana, ulitumbuliwa ukafukuzwa, au mihadarati yako iliteketezwa?

Inamaana WaTz tuliompenda, sote umetupima roho zetu na kuona kuwa tuna roho mbaya?

Uandishi huu, lazima katika utawala wake alikugusa mahali ukasikia moto.

Tafakari kuona kama moto huo uliukanyaga kwa uzembe wako ukakuunguza ama ni nini kilisababisha, badala ya kuulaumu moto wenyewe.

Mazuri yake sijasikia ukiyataja hata moja!

Hata kusema tu kuwa aliivusha Ccm iliyokuwa imeoza na kuirudisha kuaminiwa tena na wananchi napo hauwezi siyo?

Maneno haya yangelisemwa akiwa hai ingelifaa sana, yangelimfikia ili naye ajitafakari, lakini mtu ashajifia zake kuendelea kumzushia maneno yasiyo na kichwa wala miguu, tunaona kuwa mpendwa wetu alikuwa ni mshindi wa duniani na ahera.

Aliwashinda akiwa hai na anaendelea kuwashinda akiwa mahali pema peponi.
 
Kwa hiyo unataka akikutuma usirudishe chenji. Huo ndio unaona ubaya wa magufuli? Basi kwa ujinga ubinafsi na uroho wako hujui watu walimpenda magufuli kwa ajili hiyo. Nyie wenye kuamini kupiga hela ya umma hamrudishi chenji ndio mlimuona ni mtu mbaya. Kwanza fikiri kwa nini amekua waziri tangu enzi ya mkapa hadi kikwete kwa mfululizo. Wewe ni mtu mbinafsi, mchoyo na mjinga tu.
 
Kuna Jamaa enzi za Jiwe alisema alikuwa anasumbuliwa na bipolar disorder , watu wakamuonya humu aangalie asije kupotezwa.
 
Magufuli nimemjua kitambo kabla hajawa Rais . Ni mtu mwenye roho mbaya sana.
Magufuli akikutuma kitu dukani hata kama chenji ni elfu 1 au 2 lazima umrudishie. Usijisahaulishe , atakukumbusha na kukuabisha hata miezi 3 mbele.
Ulivyosema hii kauli ndio nikajua kumbe wewe ndio Mbumbumbu, Tahira au hujui unachozungumza zaidi ya Chuki Binafsi kwa Magufuli.

Sasa mtu kakutuma Dukani kwa nini usirudishe Chenji yake, huo ndio Wizi.

Uenda wewe ni miongoni mwa Mafisadi au Watoto wa Mafisadi au ndugu wa Mafisadi au Uliathirika kwa namna moja na Magufulification.

Magufuli alichokifanya ni Restoration tu ya madaraka sahihi, Mabepari wamesimika mizizi katika tawala mbalimbali hapa nchini kiasi kwamba maendeleo hakuna na pesa inaenda kwa Mabeberu 🐐 (imperialists).

Magufuli alikuwa katili. Ndio vile tu hatuwezi kusema kila kitu kuhofia uhai wetu lakini yule Mzee kutoa roho za wenzake huo mchezo kauanza kabla hajawa Rais.
Kusema Magufuli alikuwa Muuaji nakataa, kila Rais aliyewahi kuingia madarakani amewai kushutumiwa na hii kesi. Hii ni tabia ya sisi-M wenyewe tu hasa wale chawa kindakindaki wa chama, hata kwa Rais wa hivi sasa si watu wameuawa na kutekwa... yule mzee wa chadema aliyetekwa kwenye gari na kuuliwa si kauliwa kwenye utawala wa sasa au pia unataka kusema Magufuli ndio kamdedisha. Hata yule Speaker 🔊📢 aliwai kusema kauli "Msiruhusu mtu akichezee chama, malizaneni nae"... Hizo ni falsafa za Sisi-emu.

Samia kafanya makubwa kwa kipindi kifupi cha miaka 3 kuliko Magufuli wa miaka 6.
Taja Project 5 alizozianzisha Mama na zikakamilika ndani ya utawala wa muhula huu wa kwanza

Magufuli kaingia tu madarakani kaanza na vyeti feki, Wala rushwa, pesa ilipopatikana kaanza kujenga bwawa na Nyerere, kajenga Meli kubwa ziwa victoria "MV Mwanza Hapa Kazi Tu", Bwawa la Nyerere, Treni za SGR ya Kwenda Uganda, Mwendo Kasi, Barabara, Flyovers za Dar es Salaam, Mashule, Hospitali, Serikali kuamia Dodoma, Kaboresha jiji la Dodoma kajenga maofisi ya serikali na kuboresha Ikulu ya Chamwino, Bomba la Mafuta kutoka Uganda hadi Tanga na mengineyo

Kwa kifupi mwamba kapiga projects nyingi ndani ya miaka 5 tu... Hajawa kutokea Rais mwenye huo uthubutu
 
Mkuu kuna Lile suala la kifo cha Binti yake kilicho gubikwa na usiri mkubwa ,kuna yeyote humu akatusimulia?
Kuna Jamaa katapika vibaya , she was beaten untill death , raped , her sister disowned , his wife also went severe and brutal punishment nearly to die several times, also one of his daughter who failed national exams was nearly dead by his severe punishment , that's in short.
 
Mafisadi na familia zao na waovu wote wanaoirudisha nyuma Tz ndio ambao hamumpendi JPM

Mtu akiwa mkali kosa akiwa mpole pia kosa yaani umaskini wa Tanzania ni kwa sababu wananchi wake wana ujinga na hawajui wanataka nini.
Ukali uwe na mipaka, Magu alikua kajua yote na mkali na mwenye madaraka makubwa.
Hata afanye maamuzi ya hovyo wateule wake wataogopa kumkosoa au hata kumpa ushauri.

Kila mwenye pesa enzi zake alikua ni fisadi bila kujali kazipataje, anakaba wafanyabiashara anaacha wanasiasa wezi.
Fisadi gani aliefilisiwa au kushtakiwa kipindi chake??

Good/bad enough watu wa kariba yake ni rahisi kumalizwa.
 
Mna mtetea huyo mtu wenu Kwa propaganda kuliko facts na msingi wa utetezi wenu hauna mashiko.
Ukisema sie tunamtetea je nyie mnamchukia? Na ndio sababu ya nyie kuendelea kueleza mabaya yake hadi sasa?

Tatizo lililopo ni kwamba nyinyi mmepofushwa na chuki mmefika stage ambayo lolote baya litakalosemwa kuhusu Magufuli mnalichukua kama lilivyo na kufanya ni ukweli et kisa Mnamjua Magufuli alikuwa katili, sasa hata kwa akili ya kawaida tu inawezekana vp kila kisemwacho bila ushahidi kihesabike ni kweli?
 
Naona vita dhidi ya Hayati inaendelea huku Hayati akiongoza.

Umetumwa ukanunue kitu, then unataka ukae na chenji wewe si ni malaya tu?

Magufuli anapendwa kwa aliyoyafanya hata kabla ya kuwa rais.
 
Mimi binafsi simchukii ila sijawahi mkubali Kwa maamuzi yake.eg Vietnamese yenye uchumi wa Dola Bilioni 450 ndio inajenga reli za Sgr kuanzia 2027.

Tanzania yenye uchumi wa Dola bil.80 inahangaika na SGR zisizo na msingi.

Hapo sijagusia kupora watu hela,hakuna Ajira,maisha magumu na upuuzi mwingine kama huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…