Mnaonaje graduates wote ambao hamna ajira mkaja na Bongo Jobless Festival?

Bila shaka wewe ni mnufaika wa huu mfumo mbovu wa Ma CCM na viunga vyake
 
kwani sasa hivi hawali havai,kwahiyo furaha yenu nikuwaona wako vitandani wamelazwa au, kile kidogo wanachopata wanachangishana na kuandaa hako ka festivals
Tutawachangia kama wanavyotupiga mizinga mwingine, hili litakuwa na mashiko wakipiga zinga.Hofu ni kwamba,serikali usije na hosa Hawa ni wapinzani.!
 
Serikali ije na mpango mkakati wa kuwakusanya hao ' jobless graduates' na kuwaua wote, hatuwezi kuwa na Taifa la wasomi uchwara namna hii.
 
Hoja nzr lakn wataweza
 
Nyingi ili zipate nguvu na supporters ni lazima ziandikwe hivi

SAMIA JOBLESS FESTIVAL au

SAMIA JOBLESS AWARDS

Hapo mpaka bank kuu na hazina watatia mkono ku-support
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ nimeipenda iyo samia jobless festival
 
Ndugu
Serikali ije na mpango mkakati wa kuwakusanya hao ' jobless graduates' na kuwaua wote, hatuwezi kuwa na Taifa la wasomi uchwara namna hii.
Pole. Hii sio mchango mzuri kwa taifa brother.
Ukijua Geography ya hii nchi, maisha ya Mtanzania kwa ujumla. Utakuja na jibu kuwa maisha hayapo sawa kama ilivyo kwa watu wengi wanavyohisi. Wapo ambao ni Graduates wamekulia life la shida A to Z. Game ya ajira ni changamoto kwao.
Tuwasaidie.
 
Unaonaje hizi Technology zikitumika kuhamasisha hao vijana waweze kufikiwa kwa uharaka katika kupashwa habari ili wajiongeze katika maisha yao.
 
Vijana wanaweza wezeshwa kwa zawadi kwa mkoa uliofanya vizuri "Bongo Festival" yao wakapewa zawadi ya fedha na vifaa kwa ajili ya kuwawezesha kujikwamua kiuchumi na kupunguza gap la ukosefu wa ajira nchini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…