iyo kweli mkuu, SINA MASLAHI NA MAMA zaidi ya kuwa kiongozi wangu na mimi raia wake.
Mkuu, japokuwa haijaandikwa sehemu yoyote kwenye katiba, lakini siyo kwamba ili kutoongeza kero za Muungano basi SSH angeendelea hadi 2035 kwa kuwa Wazanzibari nao walisubiri nafasi hiyo tangu 1995?Mimi ushauri wangu kwa Rais Samia Suluhu Hassan ajipime kwenye uwanja sawa uliokuwa na Tume huru
Mimi ushauri wangu kwa Rais Samia Suluhu Hassan ajipime kwenye uwanja sawa uliokuwa na Tume huru
Kama ni kweli hilo unaloongea basi ni faraja kubwa, ni bora kuongozwa na jeshi kuliko lijamaa la awamu ya 5Hafai kwa sababu kwa Sasa nchi inaongozwa na Jwtz
Mkuu, CCM iko sehemu mbili za muungano, ni sehemu ipi ilipo CCM unayorejelea kwamba haiwezi kukubali?Hawezi kudhubutu hilo, wala wanaccm wenzake hawawezi kukubaliana na hilo kwani wanajua fika hawawezi kushinda kihalali kwenye uchaguzi huru.
Mimi naamini pana tofauti kubwa ya msingi sana ya dhamira (ama njema au mbaya) kati ya kuficha ID (Pseudo name) na kuweka dhahiri ID (jina la kweli).Tuna uzoefu na id zinazofunguliwa hapa jukwaani wakati wa mtawala fulani ili kumpigia debe. Wote wanaofaidika na utawala huo utawaona wakimpamba kiongozi wao ili wapate ulaji. Kuna id za wakati wa JK, kwa sasa ziko kimya kabisa. Kuna id za wakati wa Magufuli, kwa sasa zinapambana na nyie watetezi wake kwa ajili ya maslahi yenu. I'd yako ni ya mwezi uliopita, ukiangalia hii id yako,na nyingine za hivi majuzi ni rasmi kwa ajili ya kumpigia debe mama wa kambo, simply nyie ni wafaidika wa utawala wa sasa fullstop.
Mbona tangu Mwl. Nyerere tunaongozwa na jeshi! Kikatiba Rais ni Afande (Amiri Jeshi Mkuu), hivyo ni mwanajeshi kamili. Hii ni itifaki ya dunia. Dunia yote nchi zinaongozwa na wanajeshi kwa mantiki hiyo. Jeshi linapokea Amri ya juu kabisa kikatiba toka kwa AFANDE AMIRI JESHI MKUU.Kama ni kweli hilo unaloongea basi ni faraja kubwa, ni bora kuongozwa na jeshi kuliko lijamaa la awamu ya 5
Mkuu, unaweza pia kutumia uhuru wa kutoa maoni kuandika ujinga usiyovunja sheria, ila reaction dhidi ya ujinga usiyovunja sheria inawezakuwa ya kijinga kwa kuongozwa na jazba badala ya hoja na reaction hiyo kubadilika kuwa ujingamkuu (hasa pale reaction hiyo inapowekwa kwenye mizania kubaini mantiki na muktadha) kuliko ule ujinga usiyo wa kuvunja sheria.uhuru wa kutoa maoni usitomike kuandika ujinga
Mkuu, CCM iko sehemu mbili za muungano, ni CCM ipi unayorejelea kwamba haiwezi kukubali?
Mimi naamini pana tofauti kubwa ya msingi sana ya dhamira (ama njema au mbaya) kati ya kuficha ID (Pseudo name) na kuweka dhahiri ID (jina la kweli).
Mkuu, sikusema CCM ziko mbili, nilisema SEHEMU ndizo ziko mbili. CCM ni moja tu. Revise.Hakuna ccm mbili, yote maamuzi yake ni yale yale. Uchaguzi wa 2015 Zanzibar si ulifutwa tukiona kwa macho yetu?
???? 🤔Hafai kwa sababu kwa Sasa nchi inaongozwa na Jwtz
kwenye mwisho wa original post nimeandika hivi:-Yaani Jakaya aongoze miaka 24 kama Mwalimu Nyerere ? Ishia kule !!! Hujui raisi nani kwa sasa ? Chief Hangaya ni pazia tuu !
Siyo kwamba ulihama toka kwenye mada ukaibua hoja ya ID? Na mimi nikajibu humo humo ulikoenda au siyo mkuu?Hoja yako ni nini hapa kijana?
Ukimchuria kiongozi wako unajichuria mwenyewe kwasababu huna mbadala hadi uchaguzi mkuu. Kiongozi ni nembo ya nchi, kama huna kiongozi huna nchi na wala huwezi kujiita Mtz. Hakuna Tz bila kiongozi.Mlianza hivi hivi kwa yule dhalim na kilichofuata wote tunakijua, endeleeni tu kumchuria.
yo kwamba ulihama toka kwenye mada ukaibua hoja ya ID? Na mimi nikajibu humo humo ulikoenda au siyo mkuu?
Ukimchuria kiongozi wako unajichuria mwenyewe kwasababu huna mbadala hadi uchaguzi mkuu. Kiongozi ni nembo ya nchi, kama huna kiongozi huna nchi na wala huwezi kujiita Mtz. Hakuna Tz bila kiongozi.
Mkuu, sijawahi kusikia Bunge likitenga kasma inayoitwa "ULAJI" wanayopewa watu wanaopamba viongozi kwenye hadhira mbalimbali, na kama kasma nyingine inatumika kwa matumizi hayo basi CAG na TAKUKURU wangeishabaini hayo. Ukumbuke bajeti ikiishapitishwa na Bunge inasainiwa na Rais kuwa sheria ndiyo ianze kutumika, hivyo basi matumizi yasiyo kwenye sheria hiyo (bajeti hiyo) ni haramu na uhalifu.Nilimaanisha hizi id zenu za kupamba viongozi sio kwakuwa wana uwezo, bali ni kwakuwa wanawapa ulaji. Ndio maana hizi id zenu zinapotea pindi kiongozi unyempamba akitoka madarakani. Sasa sijui ulikwama wapi?