Katiba Mpya iwe na kipengele kitakacho muongezea muda Mh.Rais Samia kuwa madarakaniKatiba ifuatwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katiba Mpya iwe na kipengele kitakacho muongezea muda Mh.Rais Samia kuwa madarakaniKatiba ifuatwe
Hii mbona inaeleweka Mkuu ana vipindi vya ke viwili 2025 - 2030 and 2030 - 2035 hii haina ubishi.Sura ya Pili, Sehemu ya Kwanza, Ibara za 38, 39 na 40.
Ibara ya 40 (1) na (2)
Kifungu (1)
"Bila kuathiri masharti ya mengineyo yaliyomo katika ibara hii, mtu yeyote ambaye ni Rais anaweza kuchaguliwa tena kushika kiti hicho" Siyo kuteuliwa na Katiba.
Kifungu (2)
"Hakuna mtu atakayechaguliwa zaidi ya mara mbili kushika kiti cha Rais"
Mhe. Rais Samia hajachaguliwa, atachaguliwa kwa mara ya kwanza 2025 na hivyo kwa mara ya pili kama atagombea na kushinda 2030 na hivyo kuhitimisha awamu zake 2035.
Bado tunaye sana tu!
Akithubutu kuwaza hivyo atakufa kabla hilo wazo halijatimiaKatiba inasema awamu zisizozidi mbili kwa uchaguzi, yeye awamu zake mbili za uchaguzi ni 2025-2035, si ni ukweli huu mkuu imhotep?
KIUTA haifanyi archiving, inachapa nyaraka za serikali tu. Archiving inafanywa na idara ya kuhifadhi nyaraka za serikali. Kwa magazeti yanachapwa na viwanda binafsi vya uchapaji na archiving zake zinafanywa na Shirika la Maktaba ya Taifa. KIUTA pekee ndiyo inachapa gazeti la serikali (government gazette).
Ndiyo ameenda kuzimu kumuuliza jiwe?Hivi Znz na Tangayika ipi inafaidi muungano?
Hili swali la kukamatwa waziri mkuu wa Zanzibar Na baraza la mawaziri wake Na kufungwa Tanganyika kabla Muungano liko wazi kabisa. Halihitaji ushahidi wa documents yoyote. Hawa watu walikuwa Na Familia zao , watoto wao ndugu zao majirani nkHivi Znz na Tangayika ipi inafaidi muungano?
Wewe unaona ni nani?Hivi Znz na Tangayika ipi inafaidi muungano?
Mark this comment, mama hatapita kura za maoni kwahio atahudumu miaka yake mitano.tu atatupwa baharini kwenye kura za maoni, rais mpya atatoka kanda ya ziwa tena.. Nani?! Stay tuned!
Mark this comment.
Akae mpaka uhai utakapomuondoa.Tunampenda sana Rais wetuNachokoza mada.
Wadau mnaonaje kama Rais Samia akiongezwa muda wa kukaa kwenye dhamana na mamlaka yake hadi 2035? Kwa kuwa Rais Samia alichukuwa nafasi yake kufuatia mauti ya mtangulizi wake mwanzo wa safari na kwamba hakukuwa na utaratibu wa mila na desturi ya uchaguzi bali ilikuwa ni kutimiza matakwa ya katiba.
Kiuhalali na kwa haki kwake, anastahili kuwa wa pili nyuma ya Mwl Nyerere kwa kukaa ofisini kwa miaka 15 kwa maana ya miaka aliyopokea kijiti kwa sharti la katiba na ndipo sasa astahili utaratibu wa mila na desturi yetu ya uchaguzi ambapo anaruhusiwa awamu mbili 2025 – 2035?
Nini maarifa yako, tupe maoni kwa vigezo na ushahidi.
“If a door is shut, attempts should be made to open it; if it is ajar, it should be pushed until it is wide open. In neither case should the door be blown up at the expense of those inside.”Huu ni ufinyi na ukosefu wa oksijeni kwenye ubongo
Kama angekuwa ametumikia miaka pungufu ya mitatu, then sawa ila kwa bahati mbaya magufuri amefariki na kumuachia zaidi ya miaka minne so kikatiba haruhusiwi kugombea zaidi ya mara mbili. Yaani hapa akiingia uchaguzi wa 2025 ndio mwisho wake kugombea hata kama CCM watapendekeza aendelee katiba inakataa kabisa.Katiba inasema awamu zisizozidi mbili kwa uchaguzi, yeye awamu zake mbili za uchaguzi ni 2025-2035, si ni ukweli huu mkuu imhotep?
Katiba mpya ipunguze ili Raisi awe na muhula mmoja tu.Katiba Mpya iwe na kipengele kitakacho muongezea muda Mh.Rais Samia kuwa madarakani
Dawa yenu ni katiba mpya - maana CCM sasa hivi mnapangiana miaka awamu kwa awamu as if Tanzania mnaimiliki nyie.. usishangae mwingine akasema mama akitoka January anakamata 2035 - 2045.Nachokoza mada.
Wadau mnaonaje kama Rais Samia akiongezwa muda wa kukaa kwenye dhamana na mamlaka yake hadi 2035? Kwa kuwa Rais Samia alichukuwa nafasi yake kufuatia mauti ya mtangulizi wake mwanzo wa safari na kwamba hakukuwa na utaratibu wa mila na desturi ya uchaguzi bali ilikuwa ni kutimiza matakwa ya katiba.
Kiuhalali na kwa haki kwake, anastahili kuwa wa pili nyuma ya Mwl Nyerere kwa kukaa ofisini kwa miaka 15 kwa maana ya miaka aliyopokea kijiti kwa sharti la katiba na ndipo sasa astahili utaratibu wa mila na desturi yetu ya uchaguzi ambapo anaruhusiwa awamu mbili 2025 – 2035?
Nini maarifa yako, tupe maoni kwa vigezo na ushahidi.
No problem whatever the description I deserve. Take this for your help.Acha upumbavu
Kama umetumwa useme
Mkuu, Tz siyo Comoros inayoongoza duniani kwa mapinduzi 20 (baridi na moto) tangu just 1975. Ombea taifa mkuu.Akithubutu kuwaza hivyo atakufa kabla hilo wazo halijatimia
Nadhani hujaelewa swali langu? Nauliza mabeyo ndio ameapa kuwa rais wa nchi au?Ndio, Mabeyo anajua kinachoendelea kuliko Samia.
Kwenye mazishi ya Magu Mabeyo alimwambia Samia ukitulia njoo nikupe siri za nchi.
Yani Vice President Samia alikuwa kikaragosi tu haambiwi siri za nchi!
Mhimili wa Mabeyo unapingana na mhimili wa Kikwete.