Mnaonaje tubadili katiba yetu ili Rais Samia aendelee kuongoza Taifa letu baada ya kumaliza muhula wake 2030?

Bilashaka yoyote,
waTanzania karibu wote, wanapendelea Dr Samia Suluhu Hassan aendelee kuongoza nchi na taifa letu hata baada ya ya Mwaka 2030.

Tukijaaliwa zawadi na afya njema kutoka kwa Mungu nadhani hili ni muhimu sana likatekelezwa kwa vitendo.

Chuki binafsi za watu wachache humu nchini haziwezi kutukosesha kiongozi muadilifu, makini na mchapakazi kazi.

God bless you Dr Samia Suluhu Hassan 🌹
 
Punguza uchawa!!! Katiba lazima iheshimiwe.
 
Itapendeza kama akiwa Malkia kabsa
 
Yule mwingine mlianza hivihivi akajifia mbali.

Na huyu naye mnataka kumuua?
Na kweli, hebu wasimuwangie mpendwa mama yetu. Tusubiri chaguzi zipite, wakati ndiyo utaamua!
 
Kama una huzuni maana yake unaishi wakati uliopita.
Kama una wasiwasi maana yake unaishi wakati wa ujao.
Kama una amani maana yake unaishi wakati wa sasa hivi.

Kwenye uzi wako wewe chawa na ccm mnaishi wakati ujao. Mna wasiwasi kwamba huyo mnaye mchuria havuki hata mwaka huu 2025.

"Kila mwenye pumzi na amsifu Bwana!"
 
Mshamfanya mgombea pekee bado mnaona haitoshi na kwamba hamna binadamu mwingine ndani ya nchi anayestahili ofisi kuu? Na yote mnatumia minguvu tu
 
Jinga na chizi. Mungu lichukue Leo hili. Halina hoja zaidi ya kuwa zombie. Mzazi wako aliuza ng'ombe kusomesha ng'ombe nyingine. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
 
Mimi naunga hoja ifanyike hvyo mnaona nyomi la Dodoma
 
Jinga na chizi. Mungu lichukue Leo hili. Halina hoja zaidi ya kuwa zombie. Mzazi wako aliuza ng'ombe kusomesha ng'ombe nyingine. Mungu chukua hili lishetani haraka lichome Moto liteketee kabisa
Halina akili limekalia ushirikina tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…