Mnaopangwa mashahidi wa kificho kwa Lissu kataeni kua mashahidi

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Kama Kuna Jambo ambalo Mashahidi wa Jamhuri Wanatakiwa walikwepe kwenye Kesi ya TUNDU LISSU ni KUKUBALI KUFICHWA TAARIFA ZAO Kwa kuogopa Et Wataonekana machoni mwa Watanzania.

Nina wahakikishia, Ni heri Taifa liwafahamu ili baadae hali ikibadilika mjue namna ya Kujitokeza wazi na Kujitetea !! Kwa kusema, "sisi tulitumwa na watu wafulani".

Ninawahakikushua jambo Moja, Endapo mtakubali Kutumika na Wahuni, Wahuni hawana Cha kupoteza, Mtaauliwa wote baada ya siku chache huko Mbeleni.

Na kwakua mlikua Mashahidi wa Sirini mlofichwa,, Tutasikiaga tu Mahali fulan Kuna MTU kakutwa Kauliwa kinyama, kumbe ni nyinyi wenyewe mmeuliwa.

Kwanini watawaua?? Vyovyote vile iwavyo, LISSU HANA HATIA, na Haki yake itapatikana tu Kwa namna yoyote Ile, hili liko wazi kabisa.

Sasa Wahuni Kwa kuhofia kuumbuka , Watawaua mara Moja , Mmoja baada ya mwingine.

Ni hayo tu !!.
 
Kawaida shetani hana rafiki,kwa kuwa ama kwa vipande vya fedha ama ahadi ya vyeo,acha111¹1111111111111111111111111111111111111111111 wapoteze hivyo vyote baada ya kitambo kifupi tu,hata kabla ya kufurahia walichoahidiwa.
 
Kama Kuna Jambo ambalo Mashahidi wa Jamhuri Wanatakiwa walikwepe kwenye Kesi ya TUNDU LISSU ni KUKUBALI KUFICHWA TAARIFA ZAO Kwa kuogopa Et Wataonekana machoni mwa Watanzania.

Nina wahakikishia, Ni heri Taifa liwafahamu ili baadae hali ikibadilika mjue namna ya Kujitokeza wazi na Kujitetea !! Kwa kusema, "sisi tulitumwa na watu wafulani".

Ninawahakikushua jambo Moja, Endapo mtakubali Kutumika na Wahuni, Wahuni hawana Cha kupoteza, Mtaauliwa wote baada ya siku chache huko Mbeleni.

Na kwakua mlikua Mashahidi wa Sirini mlofichwa,, Tutasikiaga tu Mahali fulan Kuna MTU kakutwa Kauliwa kinyama, kumbe ni nyinyi wenyewe mmeuliwa.

Kwanini watawaua?? Vyovyote vile iwavyo, LISSU HANA HATIA, na Haki yake itapatikana tu Kwa namna yoyote Ile, hili liko wazi kabisa.

Sasa Wahuni Kwa kuhofia kuumbuka , Watawaua mara Moja , Mmoja baada ya mwingine.

Ni hayo tu !!.
We usitafute kazi ya kufanya unashinda humu na viporojo vyako kuna mtu anakuzingatia?
 
1754401245231.jpeg
 
Hivi mashahidi wakitoa ushahidi kwa kificho mahakama inatumia kigezo gani kuhumu ??
 
Watakataeje wakati wameshakula hela. Huwezi kuolewa halafu utake kulala na ch$#pi
 
Kama Kuna Jambo ambalo Mashahidi wa Jamhuri Wanatakiwa walikwepe kwenye Kesi ya TUNDU LISSU ni KUKUBALI KUFICHWA TAARIFA ZAO Kwa kuogopa Et Wataonekana machoni mwa Watanzania.

Nina wahakikishia, Ni heri Taifa liwafahamu ili baadae hali ikibadilika mjue namna ya Kujitokeza wazi na Kujitetea !! Kwa kusema, "sisi tulitumwa na watu wafulani".

Ninawahakikushua jambo Moja, Endapo mtakubali Kutumika na Wahuni, Wahuni hawana Cha kupoteza, Mtaauliwa wote baada ya siku chache huko Mbeleni.

Na kwakua mlikua Mashahidi wa Sirini mlofichwa,, Tutasikiaga tu Mahali fulan Kuna MTU kakutwa Kauliwa kinyama, kumbe ni nyinyi wenyewe mmeuliwa.

Kwanini watawaua?? Vyovyote vile iwavyo, LISSU HANA HATIA, na Haki yake itapatikana tu Kwa namna yoyote Ile, hili liko wazi kabisa.

Sasa Wahuni Kwa kuhofia kuumbuka , Watawaua mara Moja , Mmoja baada ya mwingine.

Ni hayo tu !!.
Wakikataa watauliwa wakikubali watauliwa watie moyo tuu.
 
Kwa sisi tusiojua sheria!
Hivi Lissu akiigomea hii kesi ni kipi kitakachompata?
 
Kama Kuna Jambo ambalo Mashahidi wa Jamhuri Wanatakiwa walikwepe kwenye Kesi ya TUNDU LISSU ni KUKUBALI KUFICHWA TAARIFA ZAO Kwa kuogopa Et Wataonekana machoni mwa Watanzania.

Nina wahakikishia, Ni heri Taifa liwafahamu ili baadae hali ikibadilika mjue namna ya Kujitokeza wazi na Kujitetea !! Kwa kusema, "sisi tulitumwa na watu wafulani".

Ninawahakikushua jambo Moja, Endapo mtakubali Kutumika na Wahuni, Wahuni hawana Cha kupoteza, Mtaauliwa wote baada ya siku chache huko Mbeleni.

Na kwakua mlikua Mashahidi wa Sirini mlofichwa,, Tutasikiaga tu Mahali fulan Kuna MTU kakutwa Kauliwa kinyama, kumbe ni nyinyi wenyewe mmeuliwa.

Kwanini watawaua?? Vyovyote vile iwavyo, LISSU HANA HATIA, na Haki yake itapatikana tu Kwa namna yoyote Ile, hili liko wazi kabisa.

Sasa Wahuni Kwa kuhofia kuumbuka , Watawaua mara Moja , Mmoja baada ya mwingine.

Ni hayo tu !!.
Hiyo ndiyo kanuni ya watengenezao mauwaji ya kupanga

Watauwawa kupoteza ushahidi
 
Back
Top Bottom