Mnaopangwa mashahidi wa kificho kwa Lissu kataeni kua mashahidi

Nakumbuka tu yule shahidi wa Kizanzibari, kuhusu makosa aliyofanya Lissu kimtandao.
 
Kama Kuna Jambo ambalo Mashahidi wa Jamhuri Wanatakiwa walikwepe kwenye Kesi ya TUNDU LISSU ni KUKUBALI KUFICHWA TAARIFA ZAO Kwa kuogopa Et Wataonekana machoni mwa Watanzania.

Nina wahakikishia, Ni heri Taifa liwafahamu ili baadae hali ikibadilika mjue namna ya Kujitokeza wazi na Kujitetea !! Kwa kusema, "sisi tulitumwa na watu wafulani".

Ninawahakikushua jambo Moja, Endapo mtakubali Kutumika na Wahuni, Wahuni hawana Cha kupoteza, Mtaauliwa wote baada ya siku chache huko Mbeleni.

Na kwakua mlikua Mashahidi wa Sirini mlofichwa,, Tutasikiaga tu Mahali fulan Kuna MTU kakutwa Kauliwa kinyama, kumbe ni nyinyi wenyewe mmeuliwa.

Kwanini watawaua?? Vyovyote vile iwavyo, LISSU HANA HATIA, na Haki yake itapatikana tu Kwa namna yoyote Ile, hili liko wazi kabisa.

Sasa Wahuni Kwa kuhofia kuumbuka , Watawaua mara Moja , Mmoja baada ya mwingine.

Ni hayo tu !!.
kama ni Masaju ndiye shahidi atakataaje? au kama ni samia atakataa...maana kwa kuwaficha , hata Nchimbi anaweza kuwa shahidi
 
Kama Kuna Jambo ambalo Mashahidi wa Jamhuri Wanatakiwa walikwepe kwenye Kesi ya TUNDU LISSU ni KUKUBALI KUFICHWA TAARIFA ZAO Kwa kuogopa Et Wataonekana machoni mwa Watanzania.

Nina wahakikishia, Ni heri Taifa liwafahamu ili baadae hali ikibadilika mjue namna ya Kujitokeza wazi na Kujitetea !! Kwa kusema, "sisi tulitumwa na watu wafulani".

Ninawahakikushua jambo Moja, Endapo mtakubali Kutumika na Wahuni, Wahuni hawana Cha kupoteza, Mtaauliwa wote baada ya siku chache huko Mbeleni.

Na kwakua mlikua Mashahidi wa Sirini mlofichwa,, Tutasikiaga tu Mahali fulan Kuna MTU kakutwa Kauliwa kinyama, kumbe ni nyinyi wenyewe mmeuliwa.

Kwanini watawaua?? Vyovyote vile iwavyo, LISSU HANA HATIA, na Haki yake itapatikana tu Kwa namna yoyote Ile, hili liko wazi kabisa.

Sasa Wahuni Kwa kuhofia kuumbuka , Watawaua mara Moja , Mmoja baada ya mwingine.

Ni hayo tu !!.
Umewapa angalizo zuri sana. Walioamuliwa na Zombe kuwapiga wale wafanyabiashara wa madini hawakuchukua round wakauma meno. Bigeni akabeba zigo peke yake.

Waliompiga risasi Lissu hatunao, walishauma meno.

Zaidi hakuna siri chini ya jua. Watajulikana na wanaweza kufanywa vyovyote na umma ama waliowatuma wakauma meno.
 
Kama Kuna Jambo ambalo Mashahidi wa Jamhuri Wanatakiwa walikwepe kwenye Kesi ya TUNDU LISSU ni KUKUBALI KUFICHWA TAARIFA ZAO Kwa kuogopa Et Wataonekana machoni mwa Watanzania.

Nina wahakikishia, Ni heri Taifa liwafahamu ili baadae hali ikibadilika mjue namna ya Kujitokeza wazi na Kujitetea !! Kwa kusema, "sisi tulitumwa na watu wafulani".

Ninawahakikushua jambo Moja, Endapo mtakubali Kutumika na Wahuni, Wahuni hawana Cha kupoteza, Mtaauliwa wote baada ya siku chache huko Mbeleni.

Na kwakua mlikua Mashahidi wa Sirini mlofichwa,, Tutasikiaga tu Mahali fulan Kuna MTU kakutwa Kauliwa kinyama, kumbe ni nyinyi wenyewe mmeuliwa.

Kwanini watawaua?? Vyovyote vile iwavyo, LISSU HANA HATIA, na Haki yake itapatikana tu Kwa namna yoyote Ile, hili liko wazi kabisa.

Sasa Wahuni Kwa kuhofia kuumbuka , Watawaua mara Moja , Mmoja baada ya mwingine.

Ni hayo tu !!.
SAsa kama jamii hamuwafahamu, wauliwe ili iweje ?
 
Jambo la msingi walete ushahidi uliojitosheleza
 
Uropa
Accepting the role of a concealed witness, while crucial for justice, carries significant risks. These risks extend beyond the courtroom, potentially impacting the witness's personal life, safety, and community standing. Concealing identity can lead to social isolation, difficulties in daily life, and potential threats from those connected to the case. However, witness protection programs aim to mitigate these risks through various measures.

Risks for Concealed Witnesses:Social Isolation and Stigma:Concealment can lead to a sense of isolation from friends, family, and community. Individuals may struggle to maintain relationships, participate in social activities, or find employment.

Practical Difficulties:Changing names, addresses, and obtaining new identification documents can create significant practical challenges in daily life.

Psychological Impact:The stress of maintaining a concealed identity and the fear of exposure can lead to anxiety, depression, and other mental health issues. Potential for Retaliation:Witnesses may face threats or intimidation from individuals connected to the case, especially if their identity is discovered.

Community Stigma:In some communities, there may be a stigma associated with cooperating with law enforcement, making it difficult for witnesses to reintegrate into their social circles after their testimony. Mitigation Measures and Witness Protection:
Programs:Many jurisdictions offer witness protection programs that provide a range of services to safeguard witnesses, such as relocation, new identities, financial assistance, and security measures.

Legal Protections:Laws may be in place to protect witnesses' identities, restrict public access to court proceedings, and provide for alternative forms of testimony (e.g., video link).

Support Services:Witnesses may be offered counseling, therapy, and other support services to help them cope with the psychological and emotional challenges of being a witness.

Community Engagement:Some programs focus on building trust and support within communities to reduce the stigma associated with cooperating with law enforcement.

In conclusion, the decision to become a concealed witness is a complex one with both potential benefits and risks. While it is crucial for ensuring justice in certain cases, it is vital that witnesses are fully informed of the potential consequences and are provided with adequate protection and support to minimize the negative impacts.

Kingazija
Hatari kwa Mashahidi Waliyo Fichwa wakati wanatoa ushuhuda na kitendo fulani kinachohitaji uthibitisho usiokuwa na mashaka: Kutengwa Kijamii na Stigmatization: Kuficha kunaweza kupelekea hisia ya kutengwa kutoka kwa marafiki, familia, na jamii. Watu wanaweza kukutana na changamoto za kudumisha uhusiano, kushiriki katika shughuli za kijamii, au kupata ajira.

Changamoto za Kivitendo: Kubadilisha majina, anwani, na kupata nyaraka mpya za utambulisho kunaweza kuleta changamoto kubwa za kivitendo katika maisha ya kila siku. Inawezekana kabisa wakajitokeza baadhi ya watu waliokuwa wanajulikana kwa utambulisho wa jina, kabila, dini, umri fulani wakaenda mahakamani kuapishwa kubadili utambulisho huo wakiukana wa mwanzo ila sio jambo jepesi kwa watu wanaoishi kwenye jamii hio hio watajulikana tu.

Athari za Kisaikolojia: Msongo wa mawazo wa kudumisha utambulisho wa kufichwa na hofu ya kufichuliwa kunaweza kupelekea wasiwasi, unyonge na kukosa ujasiri mbele za watu aliowashuhudia uongo, na matatizo mengine ya afya ya akili. Uwezekano wa Kulipiza Kisasi: Mashahidi wanaweza kukabiliwa na vitisho au kutishwa na watu waliohusika na kesi, hasa ikiwa utambulisho wao utagundulika na hli liko bayana hata kama wahusika watakuwa wanalindwa na nguvu yoyote.

Unyanyapaa wa Jamii: Katika baadhi ya jamii, kunaweza kuwa na stigmatization inayohusishwa na kushirikiana na sheria, na kufanya iwe vigumu kwa mashahidi kujiunga tena na mizunguko yao ya kijamii baada ya ushahidi wao. Hatua za Kupunguza na Ulinzi wa Mashahidi:

Programu: Mikoa mingi inatoa programu za ulinzi wa mashahidi ambazo zinatoa huduma mbalimbali za kulinda mashahidi, kama vile kuhamishwa, vitambulisho vipya, msaada wa kifedha, na hatua za usalama. Inawezekana pia mashahidi husika kwa kujua au uzembe wakajifunua baada ya kesi hapo inaweza kusababisha visasi visivyokoma labda wahamishwe nchi.

Ulinzi wa Kisheria: Sheria zinaweza kuwepo ili kulinda vitambulisho vya mashahidi, kupunguza upatikanaji wa umma kwa michakato ya mahakama, na kutoa njia mbadala za ushahidi (mfano, kiungo cha video).

Huduma za Msaada: Mashahidi wanaweza kutolewa ushauri nasaha, tiba, na huduma nyingine za msaada ili kuwasaidia kukabiliana na changamoto za kisaikolojia, hofu na kihisia za usaliti kukubali kuwa shahidi.

Ushirikiano wa Jamii: Baadhi ya programu zinajikita katika kujenga uaminifu na msaada ndani ya jamii ili kupunguza unyanyapaa unaohusishwa na kushirikiana na mfumo wa kisheria.

Kwa kumalizia, uamuzi wa kuwa shahidi aliyefichwa ni mgumu na una faida na hatari zinazoweza kutokea. Ingawa ni muhimu kwa kuhakikisha haki katika kesi fulani, ni muhimu kwamba mashahidi wapate taarifa kamili kuhusu matokeo yanayoweza kutokea na wapewe ulinzi na msaada wa kutosha ili kupunguza athari mbaya za kiusalama, kisaikolojia na kijamii.

Kwa tafsiri iliyopo hapo juu ni bayana kwamba baada ya kesi ya Tundu Lissu kuanza kusikilizwa hadi ikamilike kutakuwa na vitendo vya kinyama vya kulipiza viasasi visvyoisha vikiongozwa na hisia na vitendo vya baadhi ya watu waliokuwa karibu naye anayeshitakiwa na kosa hilo la uhaini. Hali hii itafungua mlango wa kuabdilisha utamaduni wa Tanzania na kuibua ubaguzi, chuki zisizoisha badala ya kujenga mshikamano hata kwa kinafiki tu utaondoka hivyo kila mtu na jamii yake watajijali wenyewe na nchi kuparaganyika.

Suluhuhisho hii kesi ni ya kisiasa isifanyiwe jaribio kubadili mtindo wa maisha ya Watanzania amani itakufa na ni vigumu kuirejesha bila kuingia gharama ya upotevu wa roho zisizo na hatia, kwa maana hiyo imalizwe nje ya utaratibu unaoenenda sasa kuliponya taifa.
 
Back
Top Bottom