Mnaopenda kuomba Namba za Simu za Wanawake ndani ya Daladala muwe mnachunguza kama Madume zao tupo nao au hatupo

Kwahiyo nyie na Minyege yenu mkipanda tu Dala Dala na kuona Wanawale wazuri ( warembo ) wamepanda ( wapo ) mnadhani kuwa pembeni zao au nyuma zao tunaowamiliki kwa Kutukuka hatupo hivyo mnaona ni njia nyepesi ya Kuwaomba Namba zao za Simu?

IGP Sirro kuna Raia wako Mmoja leo asubuhi ndani ya Dala Dala nimemuonyesha ni kwanini Marehemu Bruce Lee alipokufa aliniachia Urithi wake na kwa nilichomfanya Matumaini yangu ni kuwa kwa muda huu lazima atakuwa amepumzisha ICU au huenda hata Ndugu zake wanasikilizia kama waanze Kuweka Oda za Sanda na Maturubai Kwao.

Yaani unapanda Dala Dala unamlazimisha kabisa Mwanamke akupe namba yake ya Simu na kila akikataa na kukuambia kuwa ana Mtu wake ( tena hadi Jina kakutajia kuwa anaitwa GENTAMYCINE wa JamiiForums ) halafu Wewe humuamini na unaendelea tu Kumlazimisha huku ukimshika shika tu unategemea Mwanamume wa Mkoani Mara ( Musoma ) nikuchekee huku nikiwa namiliki Mkanda wangu Mweusi huu?

Na najua hata akipona atakuwa anawaona Wanawake wote tu kama Kituo cha Polisi huku akiwaheshimu zaidi. Halafu sijui hata kwanini nilisahau kumuuliza anatokea Kabila gani ( lipi ) ila kwa mwonekano wake ni lazima tu atakuwa ama ni Mhaya au Mnyiramba au Muha au Mnyaturu au Mrangi au Mkara au Mnyamwezi kwani ndiyo Wanaume na Makabila yenye huu Upuuzi.

Ninatumai kabisa kuwa wana JamiiForums nyote leo mmeamka Salama. Ninawapenda na muwe na Siku Njema nyote.
Kuomba namba sio issue. Hata kama amelewa na ndoa
 
Haya
 
Kwahiyo nyie na Minyege yenu mkipanda tu Dala Dala na kuona Wanawale wazuri (warembo) wamepanda (wapo) mnadhani kuwa pembeni zao au nyuma zao tunaowamiliki kwa Kutukuka hatupo hivyo mnaona ni njia nyepesi ya Kuwaomba Namba zao za Simu?

Yaani unapanda Dala Dala unamlazimisha kabisa Mwanamke akupe namba yake ya Simu na kila akikataa na kukuambia kuwa ana Mtu wake (tena hadi Jina kakutajia kuwa anaitwa GENTAMYCINE wa JamiiForums) halafu Wewe humuamini na unaendelea tu Kumlazimisha huku ukimshika shika tu unategemea Mwanamume wa Mkoani Mara (Musoma) nikuchekee huku nikiwa namiliki Mkanda wangu Mweusi huu?

Na najua hata akipona atakuwa anawaona Wanawake wote tu kama Kituo cha Polisi huku akiwaheshimu zaidi. Halafu sijui hata kwanini nilisahau kumuuliza anatokea Kabila gani (lipi) ila kwa mwonekano wake ni lazima tu atakuwa ama ni Mhaya au Mnyiramba au Muha au Mnyaturu au Mrangi au Mkara au Mnyamwezi kwani ndiyo Wanaume na Makabila yenye huu Upuuzi.

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Sawa, msani mura amang'ana!
 
Kipigo chake kilikuwa kipigo cha mbwa koko au sio?
Alhamdullilahi namshukuru Mola Muumba wa vyote kwa kunijaalia mafanikio ya kutunukiwa Degree ya Pili (2nd Dan) ya Sanaa ya Kujilinda kwa Mikono Mitupu ama Karate mtindo wa Jundokan Goju Ryu kutoka kwa Mwalimu wetu Mkuu wa @jundokan_tanzania Sensei @fundi_romi_ siku ya Ijumaa Juni 17, 2022.

ANGALIZO: Jamani ndugu zangu sanaa hii ni ya kujilinda kiafya, kiakili, kinidhamu na ki-utii na sio kupigana na mtu au watu. Ndio maana nina miaka takriban 40 nafanya Karate lakini hadi sasa ni wachache kweli waliojua nacheza sanaa hio.

Ni kweli kabisa sikupenda na sikuwa najionesha hadharani kwamba mimi ni Karateka, na hii kutoka hadharani sasa ni kuwatia moyo na hamasa watu wa umri wowote ama jinsia yoyote kwamba Karate ni sanaa ya kujilinda kiafya, kiakili na kinidhamu. Mie imenisaidia sana kwa kweli!

Ukikuta Karateka mbabe au mpenda shari basi tambua kuwa huyo jamaa ni aidha feki au hajaiva kisawasawa.

Kwa mwenye nia ya kujiunga nasi karibu DM kwa maelezo kamili.
 
Mkuu nimecheka sana kwahiyo unasema Mimi ni mwana Karateka Feki? Uko wapi tumtafute 'Cameraman' wa JamiiForums atufotoe tukiwa tunazichapa 'Kavukavu' mpaka Mshindi apatikane kati Yetu?Ila Sharti Kuu huyo 'Cameraman' akiwa anatupiga asiwe anatuonyesha Sura zetu kwani na nilivyo Handsome Mademu JF watanisumbua.

Ila ukweli ni kwamba GENTAMYCINE sijafanya hilo Tukio na ukweli ni kwamba hata Kupigana kwenyewe tu sijui ila nimeleta tu Kwenu huu Uzi huku nikiu 'dramatize' Kwenu ili tu Watu ( hasa Sisi Wanaume ) tuachane na hii tabia kwani Jana nimeshuhudia Mtu akichezea kichapo ndani ya Dala Dala kwa Kumlazimisha Dada wa Watu ampe namba yake ya Simu kumbe Mwamba alikuwa nyuma yake na anamchora tu huku akiusoma Mchezo wake mzima.

Unachonishangaza Matola tuko hapa JamiiForums muda mrefu ( miaka mingi tu ) ila bado hujaweza Kunisoma Vyema.

Cc: adriz
 
Alhamdullilahi namshukuru Mola Muumba wa vyote kwa kunijaalia mafanikio ya kutunukiwa Degree ya Pili (2nd Dan) ya Sanaa ya Kujilinda kwa Mikono Mitupu ama Karate mtindo wa Jundokan Goju Ryu kutoka kwa Mwalimu wetu Mkuu wa @jundokan_tanzania Sensei @fundi_romi_ siku ya Ijumaa Juni 17, 2022.

ANGALIZO: Jamani ndugu zangu sanaa hii ni ya kujilinda kiafya, kiakili, kinidhamu na ki-utii na sio kupigana na mtu au watu. Ndio maana nina miaka takriban 40 nafanya Karate lakini hadi sasa ni wachache kweli waliojua nacheza sanaa hio.

Ni kweli kabisa sikupenda na sikuwa najionesha hadharani kwamba mimi ni Karateka, na hii kutoka hadharani sasa ni kuwatia moyo na hamasa watu wa umri wowote ama jinsia yoyote kwamba Karate ni sanaa ya kujilinda kiafya, kiakili na kinidhamu. Mie imenisaidia sana kwa kweli!

Ukikuta Karateka mbabe au mpenda shari basi tambua kuwa huyo jamaa ni aidha feki au hajaiva kisawasawa.

Kwa mwenye nia ya kujiunga nasi karibu DM kwa maelezo kamili.
Dojo lako lipo wapi mkuu?
 
Back
Top Bottom