Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 9,164
- 18,402
Kipato sio rizk...Mimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakua nimefulia hatari.
Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?
Tupeane mbinu hizo wakuu.
Kabisa maana tumejua take home yakeNAKAZIA
Pokea mshahara, utumie uishe! Hakuna mshahara kukutana na mshahara mwingine🔥Mimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakua nimefulia hatari.
Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?
Tupeane mbinu hizo wakuu.
Wengi tu hilo ni TGTS FKuna mualimu wa sekondari anae pokea hiyo pesa kweli?
Wakati wewe unawaza mtu anaepokea below 1M anaishije, kun mwingine anawaza mtu anaepokea below 5M anaishijeMimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakua nimefulia hatari.
Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?
Tupeane mbinu hizo wakuu.
Yah wapo mpaka wa 1.8 mil take home wale wenye uzoefu kaziniKuna mualimu wa sekondari anae pokea hiyo pesa kweli?
Waserikalini au privateYah wapo mpaka wa 1.8 mil take home wale wenye uzoefu kazini
Serikalini wapo, kuna mzee amestaafu mwaka huu alikuwa mwalimu, alikuwa anapokea 2.5m kaanza kazi na degree 1986Waserikalini au private
Huyu jamaa atakuja kujuta uzeeni.Ni kua na utovu wa nidhamu ya pesa, ila hamna pesa nyingi kila pesa haitoshi isipo kua uwe na nidhamu ya pesa tu call it finance literacy.
Mimi Nina take home ya 700k nainjoi kishenzi na mkeo akijipendekeza namlipua,gari lipo na nimejenga !! Na watoto ni English medium!!! KudadadekiMimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakua nimefulia hatari.
Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?
Tupeane mbinu hizo wakuu.
Mimi take home yangu ni kama 1.29m hivi, lakini huwa sitoboi week mbili nakua nimefulia hatari.
Sasa nyie wenzetu mnaopokea chini ya 1m huwa mnawezaje kutoboa mwezi mzima?
Tupeane mbinu hizo wakuu.
Pesa Mbuzi hii,Mimi Nina take home ya 700k nainjoi kishenzi na mkeo akijipendekeza namlipua,gari lipo na nimejenga !! Na watoto ni English medium!!! Kudadadeki