Mnaosema mtoto hurithi akili kutoka kwa mama njooni

Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2021
Posts
6,788
Reaction score
16,227
Tafiti zinasema mtoto hurithi kila kitu kwa mama zaidi lakini kwangu mimi hili ninalikataa...ukweli usemwe tu kuna wengine kuna wengine tumekuwa ndio ngao kubwa kwa hawa wazazi wetu ( wa kike ).

Hata uwezo wao wa kufikiri inaonekana kabisa ni mdogo unamshauri unamuambia kabisa hiki unachokifanya acha nacho na kitakuletea matatizo. Anakomaa nacho mwisho wa siku kinamuumiza (poor thingink capacity )

Wale mnaosema mtoto hurithi kutoka kwa mama hii imekaaje!! Tulitegemea tupate ushauri zaidi kutoka kwa wazazi kinyume chake sisi ndio tumekuwa washauri kwa wazazi.
 
Mkuu mother naye ni miongoni mwa wanawake, kwa hiyo unataka kusema wanawake............
 
Tafiti zinasema mtoto hurithi kila kitu kwa mama zaidi lakini kwangu mimi hili ninalikataa...ukweli usemwe tu kuna wengine kuna wengine tumekuwa ndio ngao kubwa kwa hawa wazazi wetu ( wa kike ).

Hata uwezo wao wa kufikiri inaonekana kabisa ni mdogo unamshauri unamuambia kabisa hiki unachokifanya acha nacho na kitakuletea matatizo. Anakomaa nacho mwisho wa siku kinamuumiza (poor thingink capacity )

Wale mnaosema mtoto hurithi kutoka kwa mama hii imekaaje!! Tulitegemea tupate ushauri zaidi kutoka kwa wazazi kinyume chake sisi ndio tumekuwa washauri kwa wazazi.
Kwa hiyo umewazidi wazazi wako akili hadi unakuja kutusimulia?

Hebu tuwaheshimu Wazee wetu na kuwasitiri walipo pungukiwa, hiyo ndio hekima
 
Tafiti zinasema mtoto hurithi kila kitu kwa mama zaidi lakini kwangu mimi hili ninalikataa...ukweli usemwe tu kuna wengine kuna wengine tumekuwa ndio ngao kubwa kwa hawa wazazi wetu ( wa kike ).

Hata uwezo wao wa kufikiri inaonekana kabisa ni mdogo unamshauri unamuambia kabisa hiki unachokifanya acha nacho na kitakuletea matatizo. Anakomaa nacho mwisho wa siku kinamuumiza (poor thingink capacity )

Wale mnaosema mtoto hurithi kutoka kwa mama hii imekaaje!! Tulitegemea tupate ushauri zaidi kutoka kwa wazazi kinyume chake sisi ndio tumekuwa washauri kwa wazazi.
Duniani ni wewe tu uchague tu kukubali uongo upi utakuridhisha tu sio kila kitu kina ukweli
 
Amekulea huyu amekuvesha, angejua mwanae alichoandika hapa alitakiwa akutupe kabla hujakua nyau ww
Hii haindoi mtu kusema ukweli pale anapoona mambo hayako sawa hata kama asemalo litamuumiza mtu wake wa karibu.

Yaani mama yako hawezi kukosea kisa kakulea??
Hii nidhamu ya uoga ni mbaya sana.
 
Akili zinazoongelewa Ni akili za darasani, zinazohusiana Zaid na kukariri pamoja na uwezo wa kutunza kumbukumbu.

Kibailojia wanawake wanauwezo mkubwa Sana wa kutunza kumbukumbu kuliko sisi wanaume.

Mf:
Mama watoto wangu anauwezo wa kumuona mtu Mara moja tu tena HARAKA sana na asimsahau kabisa, ila mimi kukalili sura ya mtu Ni KAZI Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akili zinazoongelewa Ni akili za darasani, zinazohusiana Zaid na kukariri pamoja na uwezo wa kutunza kumbukumbu.

Kibailojia wanawake wanauwezo mkubwa Sana wa kutunza kumbukumbu kuliko sisi wanaume.

Mf:
Mama watoto wangu anauwezo wa kumuona mtu Mara moja tu tena HARAKA sana na asimsahau kabisa, ila mimi kukalili sura ya mtu Ni KAZI Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafiti zinasema mtoto hurithi kila kitu kwa mama zaidi lakini kwangu mimi hili ninalikataa...ukweli usemwe tu kuna wengine kuna wengine tumekuwa ndio ngao kubwa kwa hawa wazazi wetu ( wa kike ).

Hata uwezo wao wa kufikiri inaonekana kabisa ni mdogo unamshauri unamuambia kabisa hiki unachokifanya acha nacho na kitakuletea matatizo. Anakomaa nacho mwisho wa siku kinamuumiza (poor thingink capacity )

Wale mnaosema mtoto hurithi kutoka kwa mama hii imekaaje!! Tulitegemea tupate ushauri zaidi kutoka kwa wazazi kinyume chake sisi ndio tumekuwa washauri kwa wazazi.
Unapinga kwa utafiti upi? Na akili ni nini?
 
Back
Top Bottom