Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,760
- 3,858
Tafiti zinasema mtoto hurithi kila kitu kwa mama zaidi lakini kwangu mimi hili ninalikataa...ukweli usemwe tu kuna wengine kuna wengine tumekuwa ndio ngao kubwa kwa hawa wazazi wetu ( wa kike ).
Hata uwezo wao wa kufikiri inaonekana kabisa ni mdogo unamshauri unamuambia kabisa hiki unachokifanya acha nacho na kitakuletea matatizo. Anakomaa nacho mwisho wa siku kinamuumiza (poor thingink capacity )
Wale mnaosema mtoto hurithi kutoka kwa mama hii imekaaje!! Tulitegemea tupate ushauri zaidi kutoka kwa wazazi kinyume chake sisi ndio tumekuwa washauri kwa wazazi.
kwaiyo mama ako Tabora-laza