Mnaosema mtoto hurithi akili kutoka kwa mama njooni

Mnaosema mtoto hurithi akili kutoka kwa mama njooni

Akili sio darasani tu, hata kukabiliana na vitu tofauti tofauti, mfano mimi mama yangu hakuwa mzuri wa maths, ila mimi nilikuwa nazichezea kama vole mtoto wa kishua aliyedata na penzi la muhuni, atleast marehemu mzee nasikia alikuwa anajua math.
Kuna mmoja nae alikuwa mzuri wa namba lakini namuona kilaza kwa mambo yake, kuna hicho kichwa kibovu darasani alishindwa lakini pia huku mtaani anayoyafanya kwenye maisha yake ya kila siku mnaishia kucheka tu.


Intelligence si darasani tu, ukipima intelligence ya messi kwa darasani utamuona ni kilaza, naimani hata wale wanaopima IQ ya mtu ni wanampima kwwa vitu tofauti tofauti. Hujawahi muona profesa anaomba ushauri kwa jambo la kiduwaanzi kabisa😂
me kipanga ndan na nje ya darasa 😁😁😁
 
Inatokana na personality ya mtu.
Kuna wanawake wana akili kukuzidi hata wewe mtoa huu uzi.
 
Back
Top Bottom