Mwizukulu mgikuru
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 6,788
- 16,227
Sio mama yangu tu....sema mama zetu baadhi yao ni vilaza...kwa hili linaleta mkanganyikoUnataka kusema Mama ako hana akili???
Au sijakuelewa vema
Kwa hiyo umewazidi wazazi wako akili hadi unakuja kutusimulia?Tafiti zinasema mtoto hurithi kila kitu kwa mama zaidi lakini kwangu mimi hili ninalikataa...ukweli usemwe tu kuna wengine kuna wengine tumekuwa ndio ngao kubwa kwa hawa wazazi wetu ( wa kike ).
Hata uwezo wao wa kufikiri inaonekana kabisa ni mdogo unamshauri unamuambia kabisa hiki unachokifanya acha nacho na kitakuletea matatizo. Anakomaa nacho mwisho wa siku kinamuumiza (poor thingink capacity )
Wale mnaosema mtoto hurithi kutoka kwa mama hii imekaaje!! Tulitegemea tupate ushauri zaidi kutoka kwa wazazi kinyume chake sisi ndio tumekuwa washauri kwa wazazi.
Duniani ni wewe tu uchague tu kukubali uongo upi utakuridhisha tu sio kila kitu kina ukweliTafiti zinasema mtoto hurithi kila kitu kwa mama zaidi lakini kwangu mimi hili ninalikataa...ukweli usemwe tu kuna wengine kuna wengine tumekuwa ndio ngao kubwa kwa hawa wazazi wetu ( wa kike ).
Hata uwezo wao wa kufikiri inaonekana kabisa ni mdogo unamshauri unamuambia kabisa hiki unachokifanya acha nacho na kitakuletea matatizo. Anakomaa nacho mwisho wa siku kinamuumiza (poor thingink capacity )
Wale mnaosema mtoto hurithi kutoka kwa mama hii imekaaje!! Tulitegemea tupate ushauri zaidi kutoka kwa wazazi kinyume chake sisi ndio tumekuwa washauri kwa wazazi.
Hii haindoi mtu kusema ukweli pale anapoona mambo hayako sawa hata kama asemalo litamuumiza mtu wake wa karibu.Amekulea huyu amekuvesha, angejua mwanae alichoandika hapa alitakiwa akutupe kabla hujakua nyau ww
Na Mimi kama nimeelewa hivo au kaamua tuuUnataka kusema Mama ako hana akili???
Au sijakuelewa vema
MkuuUnataka kusema Mama ako hana akili???
Au sijakuelewa vema
Unapinga kwa utafiti upi? Na akili ni nini?Tafiti zinasema mtoto hurithi kila kitu kwa mama zaidi lakini kwangu mimi hili ninalikataa...ukweli usemwe tu kuna wengine kuna wengine tumekuwa ndio ngao kubwa kwa hawa wazazi wetu ( wa kike ).
Hata uwezo wao wa kufikiri inaonekana kabisa ni mdogo unamshauri unamuambia kabisa hiki unachokifanya acha nacho na kitakuletea matatizo. Anakomaa nacho mwisho wa siku kinamuumiza (poor thingink capacity )
Wale mnaosema mtoto hurithi kutoka kwa mama hii imekaaje!! Tulitegemea tupate ushauri zaidi kutoka kwa wazazi kinyume chake sisi ndio tumekuwa washauri kwa wazazi.
Umeulizwa kuhusu mama yako, jibu swali, mama yako ana mkanganyiko?Sio mama yangu tu....sema mama zetu baadhi yao ni vilaza...kwa hili linaleta mkanganyiko
Duh , atakuwa anamsema mama yakeHii haindoi mtu kusema ukweli pale anapoona mambo hayako sawa hata kama asemalo litamuumiza mtu wake wa karibu.
Yaani mama yako hawezi kukosea kisa kakulea??
Hii nidhamu ya uoga ni mbaya sana.