Mr Chromium
JF-Expert Member
- Aug 20, 2020
- 2,760
- 3,858
Tafiti zinasema mtoto hurithi kila kitu kwa mama zaidi lakini kwangu mimi hili ninalikataa...ukweli usemwe tu kuna wengine kuna wengine tumekuwa ndio ngao kubwa kwa hawa wazazi wetu ( wa kike ).
Hata uwezo wao wa kufikiri inaonekana kabisa ni mdogo unamshauri unamuambia kabisa hiki unachokifanya acha nacho na kitakuletea matatizo. Anakomaa nacho mwisho wa siku kinamuumiza (poor thingink capacity )
Wale mnaosema mtoto hurithi kutoka kwa mama hii imekaaje!! Tulitegemea tupate ushauri zaidi kutoka kwa wazazi kinyume chake sisi ndio tumekuwa washauri kwa wazazi.
Hujaelewa hili jambo, sio kwamba kuwa wanawake wote wana akili,Sio mama yangu tu....sema mama zetu baadhi yao ni vilaza...kwa hili linaleta mkanganyiko
Hii haindoi mtu kusema ukweli pale anapoona mambo hayako sawa hata kama asemalo litamuumiza mtu wake wa karibu.
Yaani mama yako hawezi kukosea kisa kakulea??
Hii nidhamu ya uoga ni mbaya sana.
Unataka kusema Mama ako hana akili?
Au sijakuelewa vema
Haki nimechekaHili nalipinga kwa nguvu zoote, hii labda iwe proved mathematically.
Sisi tuko 6, tumegawanyika kuna vilaza wa hatari, lakini bimkubwa yuko njema saana, sasa hawa vilaza wamerithi wapi?
Wewe kwenye familia yenu upo kwenye kundi lipi la vilaza au wenye akili,na kama ukisema haupo kwenye kundi la hilo vilaza umejipimaje?Hili nalipinga kwa nguvu zoote, hii labda iwe proved mathematically.
Sisi tuko 6, tumegawanyika kuna vilaza wa hatari, lakini bimkubwa yuko njema saana, sasa hawa vilaza wamerithi wapi?
Kama mppaka saa hizii, hujui kama kuna vilaza kwenu mawili hakuna kabisa kilaza au ww ndio kilaza mwenyewe 😂🤣Haki nimecheka
Eti kuna vilaza wa hatari
Sijawahi kuwaza hili ngoja na mimi niangalie kwetu kati ya wanne kuna vilaza wangapi.
Issue unaweza kumwona mwenzio kilaza kumbe naye anakuona wewe kilaza.
We nae ni kilaza nini 😂Wewe kwenye familia yenu upo kwenye kundi lipi la vilaza au wenye akili,na kama ukisema haupo kwenye kundi la hilo vilaza umejipimaje?
Labda kwa wamama wa dot.com ndio utaona aibu ila kwa wahenga kidogo huwezi kuona aibu kisa mama yako eti hajui kusoma.Itakuwa mama yako hata kusoma hajui? Pole sana Kwa kuzisema aibu za Mama yako
katika hao vilaza na wahatari we upo kundi gani mkuuHili nalipinga kwa nguvu zoote, hii labda iwe proved mathematically.
Sisi tuko 6, tumegawanyika kuna vilaza wa hatari, lakini bimkubwa yuko njema saana, sasa hawa vilaza wamerithi wapi?
Mkuu mbona hapo inaonesha mie nipo kundi gani, au nawe ni kilaza mkuu?katika hao vilaza na wahatari we upo kundi gani mkuu
sijui nmerith kwa nan coz father na mother wote vipanga plus mm mwenyewe kipanga squareMkuu mbona hapo inaonesha mie nipo kundi gani, au nawe ni kilaza mkuu?
We umerithi kwa nani? 😂
Akili sio darasani tu, hata kukabiliana na vitu tofauti tofauti, mfano mimi mama yangu hakuwa mzuri wa maths, ila mimi nilikuwa nazichezea kama vole mtoto wa kishua aliyedata na penzi la muhuni, atleast marehemu mzee nasikia alikuwa anajua math.sijui nmerith kwa nan coz father na mother wote vipanga plus mm mwenyewe kipanga square