Mnaoshinda mitandaoni mnafanya kazi saa ngapi?

Tukiachana na maisha yao binafsi.
Hata mimi najiulizaga sana kuna ID masaa 20-24 ziko online zinachangia kila mada na kujua almost everything
Utasema ni robot [emoji1] hivi wenzetu hawanaga ubusy au ndo matajiri!!! Huwa inanishangazaga sana hii kitu
Kuna aina ya kazi inaruhusu mtu kuwa online muda mwingi. Hasa wanaofanya bishara za maduka, saloon etc.
 
aah au sio mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…