Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hahahaha Mimi Niko online siku zote na masaa yote, angalia post yangu nilikua online usiku mzima.Umofya kwenu members! Umofya tena !!!
Niende moja kwa moja kwenye mada, Baada ya kufanya utafiti mdogo nimegundua baadhi ya watu kushinda mitandaoni muda mwingi si asubuhi mchana wala jioni.
Swali langu ni mnafanya kazi saa ngapi kama kutwa kukicha mitandaoni? Mnamajukumu kweli ?
Tutafikia maendeleo kweli kama taifa?
Nawasilisha
Sisi ndio wale tunaopiganiwa na Mungu