Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Wanao saini million kwa saa hawafahamu hata jf inafananaje
Mpfyuuuuuuuuuuuu
Wao pamoja na wewe mwenyewe hamna kazi.Umofya kwenu members! Umofya tena !!!
Niende moja kwa moja kwenye mada, Baada ya kufanya utafiti mdogo nimegundua baadhi ya watu kushinda mitandaoni muda mwingi si asubuhi mchana wala jioni.
Swali langu ni mnafanya kazi saa ngapi kama kutwa kukicha mitandaoni? Mnamajukumu kweli ?
Tutafikia maendeleo kweli kama taifa?
Nawasilisha
Tunafanya digital Marketing so kukaa online ndio kazi yenyeweβ¦Umofya kwenu members! Umofya tena !!!
Niende moja kwa moja kwenye mada, Baada ya kufanya utafiti mdogo nimegundua baadhi ya watu kushinda mitandaoni muda mwingi si asubuhi mchana wala jioni.
Swali langu ni mnafanya kazi saa ngapi kama kutwa kukicha mitandaoni? Mnamajukumu kweli ?
Tutafikia maendeleo kweli kama taifa?
Nawasilisha
Hujasema lakini inaonekana kitendo hicho kinakukera. Unakereka vp mpaka upandishe uzi dhidi yao??Kuna mahali nimezungumzia kuomba hela hapo?
Mkuu; Inafaa uzingatie "Penye wengi pana mengi". Mitandaoni ni kama kijiweni lakini ni zaidi ya kijiwe kwani humu wapo: Wanaofanyabiashara(Halali na Haramu)Umofya kwenu members! Umofya tena !!!
Niende moja kwa moja kwenye mada, Baada ya kufanya utafiti mdogo nimegundua baadhi ya watu kushinda mitandaoni muda mwingi si asubuhi mchana wala jioni.
Swali langu ni mnafanya kazi saa ngapi kama kutwa kukicha mitandaoni? Mnamajukumu kweli ?
Tutafikia maendeleo kweli kama taifa?
Nawasilisha
Usituchukulie poa mafundi Garage.Nimejiuliza hili pia leo
Ukifuatilia michango yao utajua kama sio mwanafunzi basi amemaliza shule yuko mtaani.
Kuna wale wenye shughuli za kuunga unga π
Hawa ndio wanaongoza kwa matusi humu na maneno ya shombo
Nakumbuka old days kuna ID ilikua ikinitukana sana jamvini tena kwa uzushi na uongo
Kuja kumfuatilia kumbe ni kijana tu yupo gereji magomeni na tecno pop yake akiwa free anashinda humu
Mkute sasa anajitanabaisha humu utajua Afisa usalama huyu hapa ππ½π
Pilipili usioila yakuwashia nini? πUmofya kwenu members! Umofya tena !!!
Niende moja kwa moja kwenye mada, Baada ya kufanya utafiti mdogo nimegundua baadhi ya watu kushinda mitandaoni muda mwingi si asubuhi mchana wala jioni.
Swali langu ni mnafanya kazi saa ngapi kama kutwa kukicha mitandaoni? Mnamajukumu kweli ?
Tutafikia maendeleo kweli kama taifa?
Nawasilisha
πππwe ni she au he?