LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
kuna mmoja alinitukana kuwa nashindia mtandaoni kutwa nipo on line, sijui alijuaje? Kuna aina ya kazi unaweza kuzifanya huku uko on line na kazi inafanyika kama kawaidaTukiachana na maisha yao binafsi.
Hata mimi najiulizaga sana kuna ID masaa 20-24 ziko online zinachangia kila mada na kujua almost everything
Utasema ni robot [emoji1] hivi wenzetu hawanaga ubusy au ndo matajiri!!! Huwa inanishangazaga sana hii kitu