Mnaoshinda mitandaoni mnafanya kazi saa ngapi?

Tukiachana na maisha yao binafsi.
Hata mimi najiulizaga sana kuna ID masaa 20-24 ziko online zinachangia kila mada na kujua almost everything
Utasema ni robot [emoji1] hivi wenzetu hawanaga ubusy au ndo matajiri!!! Huwa inanishangazaga sana hii kitu
Na wewe hadi kugundua hilo inaonekana nawe si haba kushinda kwenye hiyo mitandao sawa Princess Ari!!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimejiuliza hili pia leo

Ukifuatilia michango yao utajua kama sio mwanafunzi basi amemaliza shule yuko mtaani.

Kuna wale wenye shughuli za kuunga unga šŸ˜‚
Hawa ndio wanaongoza kwa matusi humu na maneno ya shombo

Nakumbuka old days kuna ID ilikua ikinitukana sana jamvini tena kwa uzushi na uongo
Kuja kumfuatilia kumbe ni kijana tu yupo gereji magomeni na tecno pop yake akiwa free anashinda humu
Mkute sasa anajitanabaisha humu utajua Afisa usalama huyu hapa šŸ™ŒšŸ½šŸ˜
 
Umofya kwenu members! Umofya tena !!!

Niende moja kwa moja kwenye mada, Baada ya kufanya utafiti mdogo nimegundua baadhi ya watu kushinda mitandaoni muda mwingi si asubuhi mchana wala jioni.

Swali langu ni mnafanya kazi saa ngapi kama kutwa kukicha mitandaoni? Mnamajukumu kweli ?
Tutafikia maendeleo kweli kama taifa?

Nawasilisha
Tatizo ni tafsiri ya neno kazi nadhani.. Kwamba kwa mtazamo wako kila mtu ni lazima aamke asubuhi na kwenda kufanya kazi mahali.. Umesahau kuna
Ambao huko mitandaoni ndio kazini kwao
Kuna ambao wanafanya kazi kwa shift
Kuna ambao wanadamka na ikifika saa 2 asubuhi kishaeleweka
Kuna madalali
Kuna wafanyabiashara
Kuna walioajiri
Kuna walozi
 
Umofya kwenu members! Umofya tena !!!

Niende moja kwa moja kwenye mada, Baada ya kufanya utafiti mdogo nimegundua baadhi ya watu kushinda mitandaoni muda mwingi si asubuhi mchana wala jioni.

Swali langu ni mnafanya kazi saa ngapi kama kutwa kukicha mitandaoni? Mnamajukumu kweli ?
Tutafikia maendeleo kweli kama taifa?

Nawasilisha
Sasa kwani wewe hapa umetufuata kanisani au msikitini? Wakati ulipoingia huku, hukuwa unafanya kazi? Kuna wengine kazi zao ni za mitandanoni. Wanapata kipato kupitia bando zako.
 
Na wewe hadi kugundua hilo inaonekana nawe si haba kushinda kwenye hiyo mitandao sawa Princess Ari!!!
Walaa, ni ile umeamka labda saa5 umeingia Jf unamkuta
umekaa tena saa10 unamkuta
umekaa tena saa 3 usiku unamkuta
ukiangalia Mada alizo comment unakuta kakomenti karibu kila saa ya kutwa, karibu kila mada ya kutwa hio amekomenti, Chit chat huko ndo ana komenti hata 50 kwa kutwa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimejiuliza hili pia leo

Ukifuatilia michango yao utajua kama sio mwanafunzi basi amemaliza shule yuko mtaani.

Kuna wale wenye shughuli za kuunga unga šŸ˜‚
Hawa ndio wanaongoza kwa matusi humu na maneno ya shombo

Nakumbuka old days kuna ID ilikua ikinitukana sana jamvini tena kwa uzushi na uongo
Kuja kumfuatilia kumbe ni kijana tu yupo gereji magomeni na tecno pop yake akiwa free anashinda humu
Mkute sasa anajitanabaisha humu utajua Afisa usalama huyu hapa šŸ™ŒšŸ½šŸ˜
Eti shughuli za Kuunga Unga.
 
Walaa, ni ile umeamka labda saa5 umeingia Jf unamkuta
umekaa tena saa10 unamkuta
umekaa tena saa 3 usiku unamkuta
ukiangalia Mada alizo comment unakuta kakomenti karibu kila saa ya kutwa, karibu kila mada ya kutwa hio amekomenti, Chit chat huko ndo ana komenti hata 50 kwa kutwa
Niliwahi kulisema hili mahali Wana walinijia juu jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

By the way na mimi huwa najiuliza hivyo hivyo...Unajiuliza hata ni saa ngapi anafanya mambo yake au kupangili mipango yake binafsi basi...
 
sasa na wewe si ni mmoja wao sasa kila unapoingia unawakuta ina maana na wewe ni one of them.....
na kuna mwingine nae atajiuliza mbona kila nikiingia mtandaoni namkuta princess ariana .....
ukishamiliki hizi smart phone huwezi kwepa hii mitandao ...
Amnaa utakua hujakutana na hizo scenario mkuu šŸ˜„
mleta uzi mi namuelewa sana, kwa mfano mimi binafsi kuna siku naweza nisionekane kabisa siku nikiingia nikajibu comment walizo ni quote tu. Sasa hawa watu tunazungumzia kwanza ni wachangiaji wazuri wa mada nyingi sana halafu cha ajabu kingine ni ile hali ya wao kutochoka kuwa online, mi nikizunguka humu nusu saa hamna mada ya maana hamna quote yoyote naendelea na ishu zangu hata kama sina ishu nalala. Sasa hawa wanawezaje??
Niliwahi kulisema hili mahali Wana walinijia juu jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

By the way na mimi huwa najiuliza hivyo hivyo...Unajiuliza hata ni saa ngapi anafanya mambo yake au kupangili mipango yake binafsi basi...
šŸ˜‚tukisema oooh nyie wabeba zege, yani kuna vitu havi make sense
 
Back
Top Bottom