Wildchild
JF-Expert Member
- Aug 29, 2018
- 19,411
- 21,938
Yaweza kuwa huyo ni Moš¤Ww usiyeshinda mtandaon kwenye account yako Kuna billion ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaweza kuwa huyo ni Moš¤Ww usiyeshinda mtandaon kwenye account yako Kuna billion ngapi?
Na wewe hadi kugundua hilo inaonekana nawe si haba kushinda kwenye hiyo mitandao sawa Princess Ari!!!Tukiachana na maisha yao binafsi.
Hata mimi najiulizaga sana kuna ID masaa 20-24 ziko online zinachangia kila mada na kujua almost everything
Utasema ni robot [emoji1] hivi wenzetu hawanaga ubusy au ndo matajiri!!! Huwa inanishangazaga sana hii kitu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tukiachana na maisha yao binafsi.
Hata mimi najiulizaga sana kuna ID masaa 20-24 ziko online zinachangia kila mada na kujua almost everything
Utasema ni robot [emoji1] hivi wenzetu hawanaga ubusy au ndo matajiri!!! Huwa inanishangazaga sana hii kitu
Unatafuta ugomvi tu mzee wenye hizo id wanajiuza?Kuna hizi Id kila uzi zipp masaa yote hadi usiku. Kila ukiingia unaeakuta wanapiga stori, nahisi hawa wanajiuza humu.
-Depal
-amehlo
-Antonia
-corrsasico
-half american
-Wengine nikikumbuka nitawataja
Muulizeni kwanini katumia ID yake isiyotumika sana hapa JamiiForums Kuhoji hivi na Kaogopa kutumia ID yake Zoeleka na Maarufu hapa JamiiForums?Na wewe hadi kugundua hilo inaonekana nawe si haba kushinda kwenye hiyo mitandao sawa Princess Ari!!!
Tatizo ni tafsiri ya neno kazi nadhani.. Kwamba kwa mtazamo wako kila mtu ni lazima aamke asubuhi na kwenda kufanya kazi mahali.. Umesahau kunaUmofya kwenu members! Umofya tena !!!
Niende moja kwa moja kwenye mada, Baada ya kufanya utafiti mdogo nimegundua baadhi ya watu kushinda mitandaoni muda mwingi si asubuhi mchana wala jioni.
Swali langu ni mnafanya kazi saa ngapi kama kutwa kukicha mitandaoni? Mnamajukumu kweli ?
Tutafikia maendeleo kweli kama taifa?
Nawasilisha
Sasa kwani wewe hapa umetufuata kanisani au msikitini? Wakati ulipoingia huku, hukuwa unafanya kazi? Kuna wengine kazi zao ni za mitandanoni. Wanapata kipato kupitia bando zako.Umofya kwenu members! Umofya tena !!!
Niende moja kwa moja kwenye mada, Baada ya kufanya utafiti mdogo nimegundua baadhi ya watu kushinda mitandaoni muda mwingi si asubuhi mchana wala jioni.
Swali langu ni mnafanya kazi saa ngapi kama kutwa kukicha mitandaoni? Mnamajukumu kweli ?
Tutafikia maendeleo kweli kama taifa?
Nawasilisha
Walaa, ni ile umeamka labda saa5 umeingia Jf unamkutaNa wewe hadi kugundua hilo inaonekana nawe si haba kushinda kwenye hiyo mitandao sawa Princess Ari!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti shughuli za Kuunga Unga.Nimejiuliza hili pia leo
Ukifuatilia michango yao utajua kama sio mwanafunzi basi amemaliza shule yuko mtaani.
Kuna wale wenye shughuli za kuunga unga š
Hawa ndio wanaongoza kwa matusi humu na maneno ya shombo
Nakumbuka old days kuna ID ilikua ikinitukana sana jamvini tena kwa uzushi na uongo
Kuja kumfuatilia kumbe ni kijana tu yupo gereji magomeni na tecno pop yake akiwa free anashinda humu
Mkute sasa anajitanabaisha humu utajua Afisa usalama huyu hapa šš½š
sasa na wewe si ni mmoja wao sasa kila unapoingia unawakuta ina maana na wewe ni one of them.....kila ninaposema niingie nawakuta
Niliwahi kulisema hili mahali Wana walinijia juu jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Walaa, ni ile umeamka labda saa5 umeingia Jf unamkuta
umekaa tena saa10 unamkuta
umekaa tena saa 3 usiku unamkuta
ukiangalia Mada alizo comment unakuta kakomenti karibu kila saa ya kutwa, karibu kila mada ya kutwa hio amekomenti, Chit chat huko ndo ana komenti hata 50 kwa kutwa
unataka kusema hao ndio polisi wa mitandaoni?Kitengo hao, wapo doria
Amnaa utakua hujakutana na hizo scenario mkuu šsasa na wewe si ni mmoja wao sasa kila unapoingia unawakuta ina maana na wewe ni one of them.....
na kuna mwingine nae atajiuliza mbona kila nikiingia mtandaoni namkuta princess ariana .....
ukishamiliki hizi smart phone huwezi kwepa hii mitandao ...
štukisema oooh nyie wabeba zege, yani kuna vitu havi make senseNiliwahi kulisema hili mahali Wana walinijia juu jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
By the way na mimi huwa najiuliza hivyo hivyo...Unajiuliza hata ni saa ngapi anafanya mambo yake au kupangili mipango yake binafsi basi...