IfNot WhyNot
Senior Member
- Aug 21, 2013
- 144
- 257
Umofya kwenu members! Umofya tena !!!
Niende moja kwa moja kwenye mada, Baada ya kufanya utafiti mdogo nimegundua baadhi ya watu ( ids) kushinda mitandaoni muda mwingi si asubuhi mchana wala jioni .
Swali langu ni mnafanya kazi saa ngapi kama kutwa kukicha mitandaoni? Mnamajukumu kweli ?
Tutafikia maendeleo kweli kama taifa ?
Nawasilisha
Get to know siku hizi watu wengi kazi zao zinahitaji muda mwingi kuwa online…kuna wafanyabiashara, kuna watu wanaandika/wanatuma/kupokea report 24/7 kuna wanaosoma pia office nyingi zimerahisisha kuwa na wi-fi so mtu akifika ofisini anakuwa online siku nzima…
Hiyo inapelekea interactions kuongezeka from social media to news sites to educational sites ndo maana inakuwa rahisi mtu kuwa online kila muda