Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hahahaha Mimi Niko online siku zote na masaa yote, angalia post yangu nilikua online usiku mzima.Umofya kwenu members! Umofya tena !!!
Niende moja kwa moja kwenye mada, Baada ya kufanya utafiti mdogo nimegundua baadhi ya watu kushinda mitandaoni muda mwingi si asubuhi mchana wala jioni.
Swali langu ni mnafanya kazi saa ngapi kama kutwa kukicha mitandaoni? Mnamajukumu kweli ?
Tutafikia maendeleo kweli kama taifa?
Nawasilisha
Hana sifa za kuwa mwanaume huyoMwanaume kuwa na wivu, kufatilia na vitu usivyohusika navyo, ni aina fulani ya wazimu.
Mwenza usikute hata wewe ni modHao ni mods, wamekosa wa kuwapiga ban wanaamua kuwa busy jukwaani kutafuta ugali.
π€£π€£π€£π€£Mwenza usikute hata wewe ni mod
π€£π€£π€£πUnaweza kukuta mleta mada ndio kapata kazi wiki iliyopita tu kwenye Duka la Kanjibai Kariakoo,full kutumwa mpaka kuwapeleka Shule kina Sunche na Kapeto,mara atumwe Giligilani Kisutu....Ndio maana ana shangaa kuona mbona watu wengine wapo free sometimes.
Mjini hapaHana sifa za kuwa mwanaume huyo
Wanaume kamili wako busy na mambo ya maana ye busy JF kufatilia nani kachat na nani, ATOLEWE TU KWENYE KUNDI LA WANAUME.
π€£π€£π€£π€£π€£Mjini hapa
Achunge sana kiherehere
Atakuja kutobolewa kidonati kimasihara
Kufatilia mambo ya watu hakujawahigi kuwa na mwisho mwema
Inaonekana anakufatilia kwa karibu sana bila ya wwe mwenyewe kujijuwa! Stuka labda mna share machine moja!!Halafu kajuaje ninaochat nao ni wanaume??
Au anawafukuzia na yeye anataka wamchatishe
Na ole wako Kanjibai akuone umeshika simu yako hata Kama unaangalia saa,fukuza wwe Mara moja Jumaaa!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji109]
Kwamba anakesha anatumwa.
Hapati muda wa kushika simu
HahaaaaaaaaInaonekana anakufatilia kwa karibu sana bila ya wwe mwenyewe kujijuwa! Stuka labda mna share machine moja!!
Umofya kwenu members! Umofya tena !!!
Niende moja kwa moja kwenye mada, Baada ya kufanya utafiti mdogo nimegundua baadhi ya watu kushinda mitandaoni muda mwingi si asubuhi mchana wala jioni.
Swali langu ni mnafanya kazi saa ngapi kama kutwa kukicha mitandaoni? Mnamajukumu kweli ?
Tutafikia maendeleo kweli kama taifa?
Nawasilisha
Hahaha Kanjibai mjomba angu, ndio maana muda wote tuko online JfNa ole wako Kanjibai akuone umeshika simu yako hata Kama unaangalia saa,fukuza wwe Mara moja Jumaaa!!
Aniambie me nitamuachia mbonaInaonekana anakufatilia kwa karibu sana bila ya wwe mwenyewe kujijuwa! Stuka labda mna share machine moja!!
Wengine ndiyo kazi yao hiyo,ameajiriwa kudeal na social media tu,amepewa target kuhakikisha taasisi yake haichafuliwi kuanzia Dini,vyama vya Siasa, Taasisi za Umma, Taasisi za Bank etc.......ndiyo maana mtu kama huyo kila kinachoingia Jeiefu lazima akioneTukiachana na maisha yao binafsi.
Hata mimi najiulizaga sana kuna ID masaa 20-24 ziko online zinachangia kila mada na kujua almost everything
Utasema ni robot [emoji1] hivi wenzetu hawanaga ubusy au ndo matajiri!!! Huwa inanishangazaga sana hii kitu
[emoji38][emoji38][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usitupangie cha kufanya, hata kushinda mtandaoni nayo ni kazi
Mazziyaah π€£π€£π π π π π
Usitupangie cha kufanya, hata kushinda mtandaoni nayo ni kazi