Mnaotaka Katiba Mpya nawapa hoja

Mkoloni wetu muingereza katiba yake ina miaka 120+ na sisi katiba yetu hii tunataka ifike miaka 150,chadomo nyie fanyeni ugaidi tu[emoji23][emoji1787]
unalinganisha mkoloni mwingereza na hawa nyani?
 
Hivi wale mnaopingana na mawazo ya mwanzisha uzi tuwaeleweje?
Kwani anapinga dai la katiba?
Si ametoa na kwanini katiba mpya ni hitaji.
Wazo lake ni nani na kwanini anaipambania. Amesema WANASIASA basi.
 
Kwani umezuiliwa kumuunga mkono wewe?
 
Mimi Mbona Sio Mwanasiasa Lakini Napigania Katiba Mpya
 
Mkoloni wetu muingereza katiba yake ina miaka 120+ na sisi katiba yetu hii tunataka ifike miaka 150,chadomo nyie fanyeni ugaidi tu[emoji23][emoji1787]
Mwingereza hana katiba ya kubambikia watu kesi za kipuuzi, wizi wa kura au polisi kuzuia mikutano ya watu, ya mwingereza acha idumu ila hii ya CCM mpaka kieleweke na itabadilishwa tuu
 
Huu nao ni uzi????[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wazungu wanaweza kufanya prediction ya Miaka 100 mbele,,ccm hata mwaka mmoja mbele hawawezi kupanga
 
Mwingereza hana katiba ya kubambikia watu kesi za kipuuzi, wizi wa kura au polisi kuzuia mikutano ya watu, ya mwingereza acha idumu ila hii ya CCM mpaka kieleweke na itabadilishwa tuu
Hizi ni ngonjera na blah blah blah za waropokaji na wapayukaji wenyewe wanajiita wapinzani [emoji23][emoji1787]
 
Bila kuiba kura leo kusingekuwa na CCM au wajinga wa Taifa kama wewe
 
kwani katiba hiyo mpya itatokana na vikao vya wanasiasa au itatokana na maoni ya wananchi kwa ujumla??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…